Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
35,073
2,000
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.

Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.

Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.

Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
3,888
2,000
Na wewe uanaweza ukajiita mchambuzi wa masuala ya kisiasa,unataja vyama zaidi ya vitano,unazungumzia muundo wa kimoja na kujifanya umesoma katiba za vyote,wewe na nguruwe pori munatofauti gani!.
 
balogun

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
587
500

Firisika- filisika.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,666

Yani wewe ni kilaza kama mwenyekiti wako wa chama. Hujui kitu unajiandikia threads kama unatumia dozi ya kuhara
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,484
2,000
Mkuu johnthebaptist huwa unatia huruma na aibu sana kwa mada zako kama hizi. Hivi kumbe Mzee Mangula ni Mzanzibari? Kwani CCM Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu hawatoki Tanzania Bara?

Hata hao CHADEMA wana Makamu wa Mwenyekiti wa Zanzibar kama walivyo CCM. Na Makamu wao Mwenyekiti ni kama wa CCM kimadaraka. Tatizo lako unapenda kuanzisha mada hata kwa mambo ya roporopo.

Unageuza Jukwaa la Siasa kuwa Jukwaa la Chit-Chat. Kwanini unateseka sana na CHADEMA? Hebu waachie chama chao basi na ubaki na CCM yako.Bure kabisa wewe binti!
 
Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
4,053
2,000
Ukishamaliza CCM vs CHADEMA, rudi Waziri Mkuu wa Uingereza vs Waziri Mkuu wa Tanzania vs Waziri Mkuu wa China.

Waziri Mkuu wa Uingereza ana nguvu serikalini kuliko Mkuu wa nchi yaani Malkia, ukilinganisha Tanzania ambapo Mkuu wa Nchi ambaye ni rais ana madaraka makubwa mno huku Waziri Mkuu akiwa hana mamlaka makubwa kabisa.

Waziri Mkuu wa China anapata madaraka na anasimamiwa na Chama huku Waziri Mkuu wa Uingereza anapata madaraka kutoka kwa wananchi ila anasimamiwa na Bunge la wananchi.

Ninataka kumaanisha kwamba, kupanga ni kuchagua.

CHADEMA wamechagua kwamba Mwenyekiti awe na madaraka aliyonayo kwa sasa, na makamu awe hivyo, na hata CCM wameamua kama walivyo.

No offence.

Hakuna cha ajabu hapo mbona!
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,585
2,000
..inategemea.

..Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Cygwiyemwisi John Malecela alikuwa very active mpaka akapewa jina la utani la " tingatinga. "

..kwa hiyo nafasi Makamu Mwenyekiti wa chama inategemea utayari wa mhusika, malengo na matarajio ya chama, na majukumu atakayopangiwa na chama chake.
 
Awuot

JF-Expert Member
Nov 10, 2018
1,140
2,000
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.

Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.

Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.

Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema tayari umetueleza vizuri huo mpangilio wao, haya sasa tujuze Nccr, Cuf, Tlp na Act tuone nao walivoitenga Zanzibar katika mfumo wao wa uongozi kichama.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,244
2,000
Niliwahi kukuambia kuwa una kasi ya kuanzisha threads hapa JF bila kujitambua kuwa wewe ni kiazi kichwani.
Ni maajabu kuwa pamoja na kuhudhuria kwa muda mrefu elimu darasa hapa JF bado hujaiva kuwa na uelewa hata wa mambo madogo madogo kama haya?
Unaelekea kumpita kwa kasi sana mzee wenu ambaye imefahamika kuwa akili yake imekomaa kiasi kuwa hafundishiki tena na ni mbishi sana.
 
Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,090
2,000
Mkuu johnthebaptist huwa unatia huruma na aibu sana kwa mada zako kama hizi. Hivi kumbe Mzee Mangula ni Mzanzibari? Kwani CCM Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu hawatoki Tanzania Bara?

Hata hao CHADEMA wana Makamu wa Mwenyekiti wa Zanzibar kama walivyo CCM. Na Makamu wao Mwenyekiti ni kama wa CCM kimadaraka. Tatizo lako unapenda kuanzisha mada hata kwa mambo ya roporopo.

Unageuza Jukwaa la Siasa kuwa Jukwaa la Chit-Chat. Kwanini unateseka sana na CHADEMA? Hebu waachie chama chao basi na ubaki na CCM yako.Bure kabisa wewe binti!

Mkuu una ushahidi kwamba huyu ni binti?
 
Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
1,485
2,000
Kumbe John the Baptist ni binti, nilikuwa sijui.
Mkuu johnthebaptist huwa unatia huruma na aibu sana kwa mada zako kama hizi. Hivi kumbe Mzee Mangula ni Mzanzibari? Kwani CCM Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu hawatoki Tanzania Bara?

Hata hao CHADEMA wana Makamu wa Mwenyekiti wa Zanzibar kama walivyo CCM. Na Makamu wao Mwenyekiti ni kama wa CCM kimadaraka. Tatizo lako unapenda kuanzisha mada hata kwa mambo ya roporopo.

Unageuza Jukwaa la Siasa kuwa Jukwaa la Chit-Chat. Kwanini unateseka sana na CHADEMA? Hebu waachie chama chao basi na ubaki na CCM yako.Bure kabisa wewe binti!
 
The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
427
500
wengine mbavu zetu zina matatizo kwaiyo msituzidishie ,matatizo yakucheka

Na wewe uanaweza ukajiita mchambuzi wa masuala ya kisiasa,unataja vyama zaidi ya vitano,unazungumzia muundo wa kimoja na kujifanya umesoma katiba za vyote,wewe na nguruwe pori munatofauti gani!.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,095
2,000
Pamoja sana kiongozi
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.

Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.

Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.

Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,139
2,000
CCM
MWENYEKITI (MAGUFULI)-Bara
MAKAMU(MANGULA)-Pemba
KATIBU(LYAKURWA)-Unguja.
Kwa uwiano huu Muungano umeimarishwa.
Acha kupotosha umma kwao Mangula ni Njombe zamani...KATIBU wa CCM ni bara ..naibu Katibu Mkuu ni Rodric Mpogolo ni bara ....wewe unaowazungumzia ni wapi....?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom