upinzani

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama Kikuu cha Upinzani kwa vigezo gani?

    ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa. CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa. CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza. J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani. Ndio nauliza CHADEMA ni chama...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Uko wapi upinzani waliouasisi Mabere Marando na Lyatonga Mrema?

    Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha. Leo hii tunakuwa na...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini hautafanikiwa mpaka Mbowe na Zitto waachane na siasa

    Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao. Na kwa sababu wao ndio wameshika mipini ya vyama vya Siasa vya Upinzani ni wazi kuwa wao ndio sababu ya kukwamisha siasa za upinzani hapa nchini. Ni watu ambao wapo kwa ajili ya kutumia siasa kujaza matumbo...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa nchi hii umelala usingizi wa Pono, waoga na wako kimaslahi zaidi

    Wapendwa salaam! Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo. Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Georgia: Waziri Mkuu ajiuzulu akipinga kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Upinzani

    Waziri Mkuu wa Georgia amejiuzulu leo kufuatia mpango wa kumkamata kiongozi mmoja mkuu wa upinzani. Giorgi Gakharia amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo Nika Melia, huenda kukauzidisha mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo ya zamani ya Sovieti. Hapo jana mahakama moja ya Georgia ilitoa uamuzi wa...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya upinzani ukatoswa Oktoba 2020 mmekisahau? Mbona mnarudia makosa?

    Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata. Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

    Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama. Lakini nilivutiwa zaidi na busara ya CHADEMA kwamba tuwatoe kwanza hawa akina mama wa Bawacha halafu Mbowe na wanaume wengine wafuate. Tena Mbowe akasema yeye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukimjulia Rais Magufuli utajua kwanini lazima Upinzani utoweke nchini

    Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC. Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na product yoyote inayotoka huko. Mengine anakubali tu kwa kuwa hakuna alternative. Lakini angetamani kila...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Bunge la sasa ni kikao cha CCM. Hesabu hazidanganyi; wabunge wa Upinzani ni 6% tu!

    Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390! Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa. Kwa idadi yao...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Congo, Brazaville: Chama Kikuu cha upinzani kususia Uchaguzi wa Machi 21

    Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Congo kimesema kitasusia uchaguzi uliopangwa kufanyika Machi 21. Kwenye uchaguzi huo Rais Denis Sassou Nguesso aliyepo madarakani kwa miongo kadhaa anawania kuchaguliwa tena. Nguesso mwenye umri wa miaka 77 ameshikilia madaraka kwa miaka 36 sasa na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!

    Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara. Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani. Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujitafakari kwa kina: Vikwazo vya Mmarekani vina manufaa kwa siasa za Upinzani?

    Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu. Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

    Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM waweza kuwa mgumu kuliko vyama vya upinzani

    Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu. Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa. Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi. Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu. Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama...
  19. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Wale wakeleketwa wa Upinzani emu tuelimisheni sera zenu kwenye vipengele vifuatavyo kwani huwa siwaelewi kwani huwa mna-contradiction nyingi

    Edit: Inaonekana wapinzani wenyewe dont know direction ya kisiasa ya vyama vyao kwani: 1. wanasahihisha lugha kwa typos za mwandishi (michapio) midogo midogo bila sababu 2. wanatukana mwandishi hii ni sign tosha ya mtu asiejua jibu jamii forum (personal attacks or ad hominem nawapa pole in...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

    Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu. Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri...
Back
Top Bottom