upinzani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wale wanaofanya siasa za upinzani mitandaoni ni wengine na Wapinzani Wanasiasa halisi ni wengine!

    Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa wanalipongeza sana. Wakati mwingine uliweza kuona hali ya siasa za upinzani zinapita katika shida na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

    Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Upinzani, tuko sahihi au tumepotea? Tujadili

    Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya hili na mwaka 1992 tulianzisha mfumo huo ambapo mwaka 1995 tulifanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Mwanasiasa bora wa upinzani

    Habari wapendwa. Leo tena nimeamua nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni bila kuvunja sheria. Ingawa bado hakuna chama mbadala wa CCM hadi sasa lakini tukiri kuna baadhi ya wapinzani wana siasa nzuri zinazofaa kimaendeleo. Mfano mzuri ni mwanasiasa Yericko Nyerere ambaye pia ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

    Na huo ndio ukweli mchungu. Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninapokumbuka ya Morgan I Tsvangirai nahuzunishwa na ya Upinzani wa kina Lissu na wenzake

    Nawasalimu wanabodi wa JamiiForums Usiku wa kuamkia leo akili yangu ilinigomea kupata usingizi na hivyo kukaa macho almost the whole night. Nilikuwa nikimkumbuka mtu jasiri na mpambanaji wa kutetea haki za binadamu na ustawi wa demokrasia nchini Zimbabwe. Alikuwa ni mtu aliyejitolea maisha...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mali za viongozi wa kisiasa wakiwemo wa Upinzani zinapaswa kutangazwa hadharani badala ya kufanywa SIRI!

    Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo. Nawatakia Christmas yenye baraka!
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kukosa viongozi wenye utashi wa kukamata dola kumesababisha upinzani kuporomoka mithiri ya theluji inayoyeyuka

    Tunapotafakari mustakabari wa siasa za nchi yetu,tujitahidi kuwa wakweli,maana kweli humuweka mtu huru. Tusipoangalia tutakuwa watu wa kusukuma magari ya wanasiasa, kudeki mabarabara hata kuliwa michango yetu (hili la michango linawahusu Chadema). Tutabaki kusingizia udikteta ambao haupo...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football. Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mbadala wa Maalim Seif kwa Siasa za Upinzani upande wa Zanzibar?

    Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi. Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao. Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Upinzani Tanzania ni kukosa itikadi

    Tatizo kubwa la upinzani wa Tanzania ni kufanya siasa za mazoea na mihemko, vyama vinashindwa kujenga wanachama kwa mifumo ya kiitikadi. Pia vimeshindwa kutafuta wanachama kwa Makundi ya Vijana wa Vyuo, waliokosa ajira au wenye matatizo mbalimbali. Matokeo yake makundi hayo yanapotatuliwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

    Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni kwa ajili ya kutafuta vyeo wakikosa vyama husambaratika ngoja tuwaone Chadema!

    Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi. Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani. Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  19. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgombea wa upinzani wa Uganda ashinda Tume ya Uchaguzi kulalamikia manyanyaso ya Polisi

    Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi ameshinda katika makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuwasilisha lawama za namna wanavyohujumiwa na kunyanyaswa na vyombo vya usalama. Mgombea huyo maarufu kama Bobi Wine alisitisha kampeni zake hapo jana wakati walinzi wake wawili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vijenge hoja kwa wafadhili zile Tsh. Trilioni 2 za sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, ziletwe kujenga Upinzani Tanzania

    Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao. Najua ni ngumu, lakini hakuna lisilowezekana, inategemea unasimamiaje hoja yako. Kwa haya yanayoendelea...
Back
Top Bottom