upinzani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nape ndiye Rais ajaye 2025, akikatwa CCM ataenda upinzani watampitisha

    Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza karata vizuri ambapo kwa sasa ameanza kuteka mioyo ya makundi mbalimbali ndani na nje ya chama...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Upinzani umefirisika sana kisiasa. Hauna Hoja zenye Mashiko unapapasa tu

    Leo hii Wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi. Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana mustakabali wa Siasa za Taifa hili. Miaka zaidi ya 25 ya siasa za Uchaguzi wa vyama vingi bado wapinzani...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera mama rais wa Tanzania kwa kuwa tayari kukaa na upinzani muongee

    Dah! Kwa kweli majirani mambo yao mengi yataanza kubadilika, huyu mama amedhamiria kurekebisha mengi tu..... NI dhahiri kwa serikali ya huyu mama MATAGA watakosa ajira maana hamna fursa ya chuki tena, hata kwa wale huwa wamewekwa humu wakeshe wakiikandia Kenya watapata tabu sana. Haya...
  7. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

    Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi. Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno. Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Nchini Somalia na Baraza la Seneti wamepinga uamuzi wa Bunge kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili

    Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili. Bunge la Somalia Jumatatu lilimwongezea muda Rais Mohamed Abdullahi Farmajo kuwa madarakani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bado miaka michache Uchaguzi Mkuu; Upinzani tunalolitaka ni madai ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kama hamtaanza sasa hadi mnahakikisha Tume Huru Ya Uchaguzi imepatikana, msije mkahamasisha watu kuingi kwenye uchaguzi, fanyeni juhudi za wazi zionekane ziwaridhishe wapiga kura, sasa hata kama imebadilishwa au haikubadilishwa wananchi watawaelewa kuwa mlipigania kiume kudai Tume hio. Haya...
  12. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani kushiriki uchaguzi wowote ule chini ya Tume hii ya Uchaguzi ni uwendawazimu

    Wendawazimu huwa wana kawaida moja!. Kurudia kitu kile kile kwa mtindo uleule wakitegemea matokeo tofauti. Itakuwa ni ajabu sana kwa vyama vya upinzani kushiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa na hata uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 chini ya tume hii ya uchaguzi. Wahenga walisema kenge huwa...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndio unajizika zaidi, umebaki kushadidia masuala ya wanaCCM huku wao wakiwa na matatizo lukuki

    Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100% Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani. Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Algeria: Upinzani watangaza kususia Uchaguzi wa Bunge

    Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo hayaridhishi. Baraza la Taifa la chama cha hicho limesema matayarisho kuelekea uchaguzi huo siyo rafiki na...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kitachowagharimu watanzania kwa sasa ni kukosa upinzani wenye meno kuikosoa Serikali. Tutarajie mambo kwenda shagalabagala

    Serikali makini lazima ikubali kukosolewa na inapokosolewa lazima ijirekebishe. Tumeshuhudia miaka mitano ya serikali isiyotaka kukosolewa na matokeo yake ni aibu. Mfano ni kweli kila taifa linahitaji maendeleo ya miundombinu na sekta zote muhimu. Lakini haya maendeleo lazima yarandane na...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Naingiwa wasiwasi mno na uungwaji mkono kutoka upinzani, Usije kuwa ni lainisha upigaji kiurahisi

    Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli tuna upinzani uliodhamiria kuondoa Uonevu Kwa watumishi wa Umma ambapo wao kama upinzani walikuwa...
  19. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Upinzani na hasa CHADEMA kuingia kwenye mtego huu dhidi ya Rais Samia?

    Ndugu zangu wasalam, Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli kumeibua mengi ila moja ya mipango ni kama ifuatavyo; Kwamba MATAGA wote wana mpango wa kuomba radhi...
  20. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

    Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi. Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
Back
Top Bottom