Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,444
- 7,804
Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyike wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyike wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.