upinzani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania MMB kinaweza kikawa ndiyo chama kikuu cha upinzani Tanzania 2025

    Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake! Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

    Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field. Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando. Uzalendo umejengwa katika misingi. Maendeleo...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo. Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda. Je, Hawana ushahidi? Wamekubali yaishe? Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa? Wanatishwa? Wanatafakari kilichotokea? Wanajiandaa kuunga Mkono...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

    Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio. Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi. Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu. Mfano CCM...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani, Aluta Continua! Ni lazima kupigania kupata haki, uhuru na maendeleo japo haitakuwa rahisi

    Mabibi na mabwana na hasa wale wazalendo mapambano kudai haki, uhuru na maendeleo bado yanaendelea. Alisema J. J. Rawlings (rip): "Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye mtawala (rais), itakuwa ni lazima afanye kile ambacho Waghana (wananchi) wanataka na wala siyo kile...
  12. J_Okay

    JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Na Bashir Yakub, WAKILI Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni". Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

    Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa. Ili upinzani urejeshe makali...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaowajua haiwezekani Upinzani kususia bunge, huu ni utani tu!

    Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na Mdee walikuwa moto kweli. Walilia dhulma dhidi ya wagombea wao wengi sana wa ubunge na kutangazwa...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

    Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia wala vyama vya upinzani wala kubadilisha siasa za Tanzania. CUF walifanya hivyo mara nyingi bila...
  20. JM3

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

    Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge. Moja ya kazi za kwanza za vikao vya mwanzo vya mkutano huu itakuwa ni kumchagua Spika wa Bunge, Naibu wake pamoja na...
Back
Top Bottom