Siasa za Upinzani ni kwa ajili ya kutafuta vyeo wakikosa vyama husambaratika ngoja tuwaone Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hilo ndiyo furaha yako na wao,ila kumbuka tu wenyewe hawana maslahi yeyote wayapatayo zaidi ya hasara na mateso,kwa kutumwa na uzalendo wakweli,ile akina nyie maslahi binafsi mbele.
 
Je siasa za Chama Kikongwe ni kupiga kura kabla ya siku ya uchaguzi? Yani mtu anakuja kupiga kura na anazo kura kwenye mabegi!
IMG-20201128-WA0000.jpg
 
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Watakuja na matusi hawana hoja, wamekosa ubunge wamebakiza kashfa.
 
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!

Madaraka, vyeo na ajira binafsi ndani ya vyama vya upinzani? Na ndani ya CCM/dola vivutio ni vipi? CHADEMA ina wanachama na mashabiki wangapi? Wangapi kati yao wamekuwa na ubunge na udiwani? Hao ndio nguzo ya chama? Huo ndio mkakati mpya wa kuiua CHADEMA - kwa kuiba ushindi wao wote kwenye uchaguzi mkuu?

I suspect our intelligence is being insulted here. This is downright mockery of tyranny over the powerless. Sheer arrogance.

Maendeleo yana chama.
 
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Sisi wananchi tunasubiri rafiki zetu wazungu watakapowafurusha MATAGA kutoka madarakani.
Itakuwa ni kilio na kusaga meno!
 
Je siasa za Chama Kikongwe ni kupiga kura kabla ya siku ya uchaguzi? Yani mtu anakuja kupiga kura na anazo kura kwenye mabegi!View attachment 1641995
Hili igizo mulilifanya kishamba saanaa. Halafu mkachomo wenyewee, toka lini ukamate nyaraka muhimu kama hizi halafu uchomee?? Acheniiii utapeliii. Malengo mlipanga mtie doa uchaguziii halafu mukakosea mbinu, hovyokwelikweliii
 
Kwahiyo kama CDM walifanya igizo la kura chama cha mezani mlifanya igizo gani wakati nyie ndio mlificha aliyepewa tender ya kuprint hizo karatasi?
 
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
hii yote umekuja baada ya mbowe cha pombe kukosa ubunge. Amejaribu kuwa viti maalum lakni jinsia inamhukum😂😂😂
Amini kama mh mbowe angeshinda haya yote tusingeyaona mkuu

#wish u good sabath
 
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.

Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Unazungumza kutoka jalala lipi leo. Umetoroka Mirembe, nakushauri bure kamalizie dozi na ukavae kichwa chako halisi. Usitutembelee mtaani na kifuu cha nazi
 
Kama unadhani Mbowe ataadhirika kisa siyo mbunge unajidanganya. CHADEMA ina wanachama wenye ajira rasmi na zisizo rasmi, lini wameomba mchele CCM? Mmefanya wizi wa kitoto sasa aibu inawaandama mmebaki kuwayawaya kila siku.
 
Chadema inaenda kuwa kama TLP!

Kuna mtu aliamini Halima Mdee anaweza kutepeta?
 
Kwanini unaweza mawazo ya kishetani hivyo. Ikisambaratika utaongeza utajir?
Kwa ilipofikia Chadema ni bora isambaratike. Haiwezekani viongozi wao wanazurura duniani kuitakia mabaya nchi na watu wake.

Turudi tu kwenye uhalisia, TUNDU alishinda urais akaibiwa kura?

Ushahidi wa kuibiwa kura uko wapi? Mbona hata hawajaupeleka kwa nchi wahisani ukawekwa wazi.

Je, ni kweli Msigwa, Lema, Nyarandu, Mbowe, Sugu, Hawa Ghasia, na yule alieshindwa na Aida Kenani waliibiwa kura zao?

Ukiona chama kimeacha kusimamia misingi ya demokrasia na kuanza kutengeneza drama za kujenga chuki katika jamii hicho hakifai bora kife
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom