umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

    Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao ninawazungumzia. Biblia inasema Mungu alipendezwa sana na wana wa Isachar. Sababu kuu iliyo mfanya...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuandikwa Historia ya Kweli ya TANU

    MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA Kaandika aliyeandika: "Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere ndo alikuwa Master Planner." Nimejitahidi kumjibu kumueleza ukweli wa historia ya ukombozi: Kweli...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa watu Maishani

    Siku utakapotambua kuwa pesa hazimziki mtu ndiyo utakapojua thamani ya watu, Tuishi kwa kupendana na kuheshimiana LIFE HAS NO FORMULA
  5. Rafiki Asali

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Misitu katika ufugaji Nyuki Tanznaia

    Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo. Misitu Katika Ufugaji Nyuki Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumjengea mtoto tabia ya kujitegemea mapema

    Na C-Sema Wakati mwingine, wazazi na walezi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu. Tunajiuliza: Watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara? Lakini kimsingi, sisi wazazi na walezi ndiyo watu pekee wenye jukumu la...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  8. stevenklm_

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora huleta mabadiliko thabiti katika nyanja mbalimbali

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania nini mabaya na mazuri yao? Kuna umuhimu wa kuwa na Polisi binafsi?

    Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao. Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa" katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  11. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
  12. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa chini tunataja...
  13. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kusoma mapato na matumizi yaliyopita kwa wizara

    Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti. Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu, hatua za kukuza na hasara zitokanazo na teknolojia nchini Tanzania

    Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya kibinadamu. Inahusisha matumizi ya sayansi, uhandisi, na maarifa mengine ya kibinadamu kwa lengo la kuunda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa matunzo kwenye hifadhi za barabara Tanzania

    Utangulizi Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa. Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
  19. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu. (Photo)www.ipp media. com Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na...
Back
Top Bottom