KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,592
- 3,839
Anaandika Kenge
Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati.
Kupitia somo la Genetics wanasayansi wameonesha umuhimu wa kuoa bikra kama ifuatavyo:
MICROCHIMERISM.
Ni dhana(phenomena) inayotumiwa na wanasayansi kuonesha athari za kufanya zinaa kwa watu tofauti tofauti.
SPERM(Shahawa) Ni zaidi ya majimaji mazito kama yanavyoonekana kwa macho..Sperm zimebeba taarifa(Genetic information) za mtu husika kwa cell za vinasaba(DNA)..Ambapo mwanaume akikutana na mwanamke Sperm zinakaa kwa mwanamke na kusubiri yai kupevuka na kunasa Mimba...Na mtoto kufanana baadhi ya Tabia kwa mama na Baba.
Kama hatonasa Mimba basi DNA hizo ndipo zinazidi kuwa nyingi na kuhifadhiwa kwa mwanamke.
MIcrochimerism ndio dhana inayoelezea kwanini ukikaa na Mpenzi wako kwa miaka mingi Tabia zinaanza kufanana hii ni kwasababu ya DNA za mwanaume kuingia kwenye mfumo wa Damu wa mwanamke na kuanza kubadili Tabia.
Wanasayansi wameeleza pia kupitia dhana hii kwamba MALAYA na MAKAHABA wanatabia za kufanana Duniani kote kama vile
Kukosa mshipa wa aibu.
Kukosa mshipa wa uoga.
Kukosa mshipa wa huruma
kukosa mshipa wa adabu
Hawachelewi kupigana wala kukutukana wala kukupiga kisu cha tumbo kwao sio shida..Hii yote ni kwanini?
Ni kwasababu wamelala na wanaume wengi sana wenye Tabia tofauti majambazi,Makatili,Vibaka,wezi hivyo DNA za wanaume hao wote zimechanganya na kuingia kwenye damu(Bloodstream) ya mwanamke na kufuma Tabia mbalimbali.
Pia Dhana hii imejibu maswali ya kwamba unakuta mtoto mmoja kwenye familia anatabia tofauti na wenzake licha ya kufanana na wenzake na DNA inaonesha wote wamechangia baba na mama mmoja..ila tu anaTabia za ajabu ajabu kuliko wenzake..Unaweza kushinda kwa Mwamposa ukitafta msaada lakini pengine Tatizo ni lako(Mwanamke) kulala na wanaume wengi hivyo wamekuachia Tabia nyingi.
Wameenda mbali na kusema kwamba wapenzi wanaofanya Oral sex wapo hatarini zaidi kwa mwanamke..iwapo atameza zile sperm..zitaingia kwenye GastoIntestinal Tract kisha zitameng'enywa kama chakula hivyo DNA zitaingia kwenye bloodstream na kuwa part ya mwanamke Milele daima..
Hivyo kwa wanaume USIOE kama sio Bikra USIOE..Na wewe mdada Itunze iyo Bikra kama unavyotunza Kioo cha simu yako kisipate hata mchubuko..Matukio yote haya ya Wapenzi kuuana,kunjichana asilimia kubwa tumeacha MILA,MIIKO na DESTURI za mababu zetu..tumehamia kwenye TAMADUNI za BEBERU ambazo sikuhizi ETI ukiwa na demu anavuta shisha na kunywa POMBE ndio unaonekana MJANJA??Tumerogwa?
Kazi kwelikweli/Job TrueTrue