umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kilimo

    Nilikuwa nasoma bajeti ya elimu. Nimeona mambo mazuri ya vyuo vya ufundi vya cheti, astashahada, stashahada na shahada, na kuona kila wilaya inatarajiwa kuwa na chuo cha veta na vinginevyo. Najua ni jambo jema. Lakini havyo vyote na vya kujiajiri na wanahitaji kula. Ninachojiuliza kwanini...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu Ndani ya Mipaka ya Tanzania

    Usafirishaji haramu wa binadamu ni tishio kwa haki ya uhuru na usalama binafsi. Pia ni tishio kwa haki nyingine na uhuru kama vile haki ya kuishi, haki ya kutokubaguliwa, uhuru kutokuwa mtumwa, uhuru dhidi ya mateso, uhuru dhidi ya ukatili, uhuru wa kuungana, uhuru wa kusafiri, haki ya afya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tuielimishe jamii umuhimu wa kuyatunza Mazingira ili mazingira yatutunze

    Tarehe 5 ya mwezi Juni kila mwaka dunia huadhimisha siku ya mazingira duniani, lengo kuu la kuadhimisha siku hii ni kufahamu kwa undani umuhimu wa kutunza na athari zinazotokana na uharibifu wa mazingira. Kwanza kabisa mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyomzunguka binadamu au kiumbe hai...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima. So akili kichwani, yaani mzazi...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Uwajibikaji katika Maendeleo ya Jamii: Jinsi Wananchi Wanavyoweza Kuchangia na Uchambuzi wa Viwango vya Uwajibikaji katika Sekta Tofauti

    UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii. Ni jambo ambalo linahitajika kwa kila mmoja wetu kuchukua...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu ya Kitabu Kidogo cha Ajabu Kinachotawala na Kuwajibisha: Upo Umuhimu Mkubwa wa Kujifunza Somo la Katiba Toka Shule ya Msingi Mpaka Chuo Kikuu

    I. Utangulizi Katiba ni msingi wa utawala bora na demokrasia katika jamii yoyote. Inaamua muundo wa serikali, haki na uhuru wa wananchi, na majukumu ya viongozi. Katika Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine, Kitabu Kidogo cha Katiba kinachotawala na kuwajibisha ni muhimu katika kuhakikisha...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Habari zenu Wana JF, Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level. Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuombea uchaguzi wa 2025 katika Taifa letu: Somo toka Ukraine

    Gia aliyoingia nayo Zelensky kwenye kampeni ya uchaguzi huko Ukraine ni KUAHIDI KULETA AMANI kwenye majimbo mawili ya Donbass yaliyojitenga. Aliahidi kuwa atayaruhusu kuwa na uhuru wa ndani lakini yakiwa ndani ya nchi ya ukraine kama ilivyo Hongkong iliyo huru lakini chini ya himaya ya China...
  12. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

    Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, no malaria no UTI. Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahueni. Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana.
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa utawala bora na uwajibikaji

    Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi. Lakini siku...
  15. Arch - Forum Tz

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya na Kasi ya Mabadiliko

    #Storyofchange2023 Mwandishi: Wa Kale Mawasiliano, Email: officialmapatotz@gmail.com Simu: +255745922142 Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Ikiwa...
  16. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mijadala ya haki za binadamu kwa jamii yetu

    Habari zenu wadau wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema, mijadala kuhusu haki za binadamu ni muhimu kwa sababu inawezesha kuchangia uelewa wa haki za binadamu na kukuza ufahamu wa maswala ya kijamii na kisiasa. Mijadala hii inawasaidia watu kuelewa jinsi haki za binadamu zinavyohusiana na...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  18. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Au nasema uongo? Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka...
  19. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Makanisa yazingatie umuhimu wa Sunday Schools kwa watoto wa umri mdogo na wa kati

    Baadhi ya makanisa kupuuzia Sunday schools kwa watoto na kuwa na utamaduni wa kuwachanganya watoto na watu wazima haimjengi mtoto kimaadili, kidini, kisaikolojia na kiufahamu pia. Maana kuna mahubiri mengine yanaleta matokeo hasi kwenye ubongo wa mtoto. Mtoto lazma afundishwe katika ranks na...
  20. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Back
Top Bottom