Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost wapenzi wao kwa kuhofia kuibiwa na wengine wakisema kupost ni muhimu ili kuonesha uamifu wako, kama hujampost kokote ujue kuna mambo unafanya hutaki mwenzako ajue,

Kwenu wakuu, kuna haja na ulazima wa kumposti mpenzi kwenye mitandai ya kijamii?
 
Unamposti kwani amepotea anatafutwa ?

Watu wanaoposti posti wengi wako kwenye wako kwenye mahusiano ya kutoeleweka ya kuunga unga anafanya hivo kuuridhisha moyo mwisho yanakua mazoea.

Kama ni siku yake ya kuzaliwa mtafute mpe zawadi mpeleke akapate kinywaji, kama ni msiba mpigie simu mfariji ,mfuate alipo mtie moyo !!
 
Unampisti af jamaa ana comment
" na wewe pia ushapiga iyo pisi"

Apo utaelewa
Au lipopoma limoja linakuja kukomenti:

"Huyu demu nilikutana naye Telegram mwaka jana nikamla... mpaka ndogo anatoa ni hela yako tu. Bei zake ni maelewano ila mimi alinipiga 30K....ukitaka na ndogo 50K. Anayetaka namba yake aje DM/PM

Ndo utajua hujui 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Au lipopoma limoja linakuja kukomenti:

"Huyu demu nilikutana naye Telegram mwaka jana nikamla... mpaka ndogo anatoa ni hela yako tu. Bei zake ni maelewano ila mimi alinipiga 30K....ukitaka na ndogo 50K. Anayetaka namba yake aje DM/PM

Ndo utajua hujui 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Duh! Aisee 🤔
 
Screenshot_20231020-174757.jpg

Wengine hawa hapa
 
Back
Top Bottom