Watawala msipobadilika basi mtabadilishwa kwa lazima

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,037
12,360
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna.

Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi.

Vyombo vyote vya ulinzi/ majeshi yote limeweka mfukoni mwao na kuamua kula nao ufisadi wa hii nchi ili wakae kimya.

Sasa siku yaja sio mbali pale ambapo litaamuliwa liwalo na liwe kila mwenye nguvu asimame dhidi ya ufisadi na kukwamishwa kwa maendeleo kwa nchi hii.

Pale ambapo tuta kapo nyukana wenyewe kwa mwenyewe na kuchinjana wenyewe kwa mwenyewe ndipo umuhimu wa kuletea maendeleo watu utaoneka kila tawala itajua umuhimu wa wananchi kupata maendeleo.

Sasa watawala mpo kwenye cake ya taifa kazi kuifakamia nyie wenyewe kuvimbiana na kujamba hovyo hovyo dharau kwa wananchi.

Siku ambayo milio ya risasi za wanyonge wa taifa hili zitakapo lia katika masikio yenu, ndugu na watoto wenu ndipo adabu ya kuletea maendeleo watu katika taifa hili itakuwepo.

Wachina hawakupenda kuchinjana wenyewe kwa mwenyewe ila dharau, rushwa na ufisadi wa utawala ulio kuwepo uliwalazimisha wakomunisti wanyonge wakichina wao na watoto wao kupambana na tawala ya kipumbavu iliyo kuwepo.

Hivyo hivyo kwa wafaransa dharau na upuuzi uliopitiliza wa tawala iliyo kuwepo ili leta maafa kwao.

Watawala mliopo siku zenu zinahesabika msipo badilika na kuwaza maendeleo na kuona mnapaswa kuwa mafisadi na kuneemesha familia zenu pekee huku wananchi wengi wakipiga miayo ya umasikini tu hii nchi inakuja kuwa chungu kwenu.

# Hii ni tahadhari msipo badilika basi mta badilishwa kwa lazima
 
Mioyo imeraruriwa inavuja damu za machungu na maumivi ya umasikini wa kulazimishwa.

# Siku yaja pale mbivu na mbichi zitajulikana
 
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna.

Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi.

Vyombo vyote vya ulinzi/ majeshi yote limeweka mfukoni mwao na kuamua kula nao ufisadi wa hii nchi ili wakae kimya.

Sasa siku yaja sio mbali pale ambapo litaamuliwa liwalo na liwe kila mwenye nguvu asimame dhidi ya ufisadi na kukwamishwa kwa maendeleo kwa nchi hii.

Pale ambapo tuta kapo nyukana wenyewe kwa mwenyewe na kuchinjana wenyewe kwa mwenyewe ndipo umuhimu wa kuletea maendeleo watu utaoneka kila tawala itajua umuhimu wa wananchi kupata maendeleo.

Sasa watawala mpo kwenye cake ya taifa kazi kuifakamia nyie wenyewe kuvimbia na kujamba hovyo hovyo dharau kwa wananchi.

Siku ambayo milio ya risasi za wanyonge wa taifa hili zitakapo lia katika masikio yenu, ndugu na watoto wenu ndipo adabu ya kuletea maendeleo watu katika taifa hili itakuwepo.

Wachina hawakupenda kuchinjana wenyewe kwa mwenyewe ila dharau, rushwa na ufisadi wa utawala ulio kuwepo uliwalazimisha wakomunisti wanyonge wakichina wao na watoto wao kupambana na tawala ya kipumbavu iliyo kuwepo.

Hivyo hivyo kwa wafaransa dharau na upuuzi uliopitiliza wa tawala iliyo kuwepo ili leta maafa kwao.

Watawala mliopo siku zenu zinahesabika msipo badilika na kuwaza maendeleo na kuona mnapaswa kuwa mafisadi na kuneemesha familia zenu pekee huku wananchi wengi wakipiga miayo ya umasikini tu hii nchi inakuja kuwa chungu kwenu.

# Hii ni tahadhari msipo badilika basi mta badilishwa kwa lazima
Halafu liwekwe kundi lipi?
 
Chawa sugu kama Lucas mwashambwa na genge lake hapa wanapita kimya kimya
 
Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi tusitegemee mabadiliko yoyote.
 
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna.

Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi.
Hili kundi lina Nguvu sana za Mchana na za Usiku, za Neema na za Giza.

Kulishinda sio rahisi bila Neema Ya Mungu
 
Vita hatuitaki haina faida sana ila ulichosema ni kweli wametukula sana sijui kama hata tukisema tuwapindue tutapindua wote mapolisi,maafisa haiwezekani rushwa lazima itaendelea tu
 
Back
Top Bottom