umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wachezaji wenzake. Nakumbuka wakati Yanga wamevurugikiwa Kwa kuondoka Kwa Manji, Mwinyi zahera...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Israel imekubali yaishe; je, kuna umuhimu kuonewa huruma ili dunia ipate nafuu?

    Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe. Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita. Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya...
  4. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  5. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

    https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chansela Scholtz wa Ujerumani asema gharama ya kupambana na Hamas hailingani na umuhimu wa lengo. Hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa namna ile

    Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari. Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  8. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kumbi za Starehe kuaanza kukagua Vitambulisho vya wateja Nchini

    Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii. Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja au Umuhimu wa Shukran na Kupongezana Baada ya Tendo

    Tendo la ndoa ni miongoni mwa vichocheo muhimu sana vya kuimarisha upendo miongoni mwa wachumba na wanandoa.. Baadae ya tendo, purukushani au zoezi zito sana, na tamu mno la ndoa kukamili katika ukamilifu wake.. Je,! kuna haja ya wahusuka kila moja kumshukuru na kumpongeza mwenzake kwa kazi...
  11. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuthamini mapito yako

    Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa machine za kubeti mitaani

    Kuna viongozi wananufaika na hizi machine za ku bet ambazo zimesambaa kila mahali. Kama sio hivyo basi tuambiwe faida ya hizi machine kwa taifa. Kila mahali kuna machine za wachina wanapita kukusanya pesa kila siku pesa badala ya kusaidia kamii inaenda kusaidia hawa wawekezaji fake na viongozi...
  13. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Fahamu baadhi ya umuhimu ya kula matunda nusu saa kabla ya kula mlo

    Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
  14. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati ukimya wako ni bora zaidi kuliko kuongea!

    Muombe Mungu akuzidishie hekima ya kunyamaza kwa yale wanayokutendea, kwani ukiyazungumza yatakupeleka matatani kwakuwa kunawakati ukimya wako ni bora zaidi ya uzungumzaji wako katika kila jambo. However you cannot stay silent at everything you face, Therefore you need to internalize yourself...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  16. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Wasalaamuu.... Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi. Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari"...
  17. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar 2001: Kulikuwa na umuhimu kutumia mabavu kiasi kile?

    "Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a child, nor a woman, nor an aged man. Bring no harm to the trees, nor burn them with fire, especially...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  19. amicky008

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kwetu sisi watanzania maji na umeme havina umuhimu wowote ule. Sisi wananchi tumesema

    Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote" Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu. Huo umeme, maji kwetu hauna umuhimu wowote kazi zetu wala hata hazihitaji kabisa matumizi ya umeme wala maji...
Back
Top Bottom