umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kusoma falsafa na theolojia kwa wachungaji, vinginevyo ni shida

    Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

    Kuna umuhimu wa Mwanamke kujua Kiasi cha mshahara au kipato cha Mume wake?
  3. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  4. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wasisitiza umuhimu wa Bikra (Virgnity)

    Anaandika Kenge Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Leo Januari 10, 2024: Maombi Yenye Nguvu

    Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini. Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu.*Naye akanena, Enenda tena mara saba. Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Tuondoe term limit (mihula) kwenye uongozi, haina umuhimu wowote ule

    Nilikuwa napendekeza. Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba. Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa. Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vyombo vya habari(media) kwa matokeo hasi ya tamaduni.

    Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi. Bado tusingejua nini maana ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC yatahadharisha Umma juu ya umuhimu wa kuchukua tahadhari kuepuka majanga

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeitaka Jamii kuchukua tahadhari kujilinda dhidi ya uwepo wa kutokea Mafuriko kwenye maeneo mbalimbali Nchini. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Menan H. Jangu amezungumza na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya? Au LIMBWATA?
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tuishi kwa kusaidiana kila mtu ana umuhimu katika maishani yetu

    Tusaidiane ingali tukiwa hai, msaada unaokuja kusaidia mazishi una maana lakini ungekua na maana zaidi kama ungekuja wakati wa kuuguza.
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

    Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo. Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano kati ya China na Marekani wazidi kuonekana kwenye mkutano kati ya Rais Xi nchini Marekani

    Rais Xi Jinping wa China na mwenyeji wake Joe Biden wamekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyokuwa yanasubiriwa kwa muda mrefu na wadau wengi wa mambo ya uchumi na siasa. Kwenye mkutano huo Rais Xi amemwambia Rais Biden kuwa dunia ni kubwa na ina nafasi ya kutosha kwa nchi hizo mbili...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

    Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe mtazamo wako.
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Watawala msipobadilika basi mtabadilishwa kwa lazima

    Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna. Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi. Vyombo vyote vya ulinzi/ majeshi yote limeweka...
  17. ___pennie

    JamiiForums Tanzania Historia ya familia ina umuhimu unapotaka kuchagua wa ubani?

    Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia. Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na umuhimu kwa baadhi ya watu, si lazima iwe kigezo pekee. Mambo mengine kama vile tabia, maadili...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

    Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii? Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
  19. xxtycoon

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa michezo ya vikaragosi (virtual games)

    1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi. Wachezaji mara nyingi wanakutana na hali ngumu ambazo zinahitaji mpangilio wa kimkakati, hivyo...
  20. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya: Umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board)

    Mheshimiwa Waziri, Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
Back
Top Bottom