umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Borosilicate

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kufatilia na kurekebisha baadhi ya vifungu kuhusiana na sekta ya mifugo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi tano bora zinazoongoza kwa kuwa na mifugo mingi barani Afrika. Hivo kuchangia mojamoja katika ukuzaji wa uchumi kupitia mazao mbalimbali yatokanayo na mifugo kama vile: maziwa, nyama na ngozi. Hivo basi ili mradi uzalishaji upate kushamiri ni muhimu vitu vya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ziara za viongozi wa nchi kubwa za magharibi zaonesha umuhimu wa China katika jukwaa la kimataifa

    Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa mwaka 2022 Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz aliongoza ujumbe mkubwa kwenye ziara yake ya kwanza...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku? Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
  4. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ambayo haimpi mtu Maarifa ina umuhimu gani?

    Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa sote kubeba jukumu la kutunza Rasilimali za Maji

    Mamilioni ya watu duniani kote hawana ufikiaji wa kutosha wa mojawapo ya vitu muhimu zaidi katika maisha - yaani maji safi. Ingawa serikali na taasisi za kimataifa zimesaidia wengi wanaoishi katika maeneo yenye tatizo la maji kupata huduma kwa kadiri inavyowezekana, bado tatizo hilo linatarajiwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya na Wakuu wa Shule za Sekondari Wanena Kuhusu Umuhimu wa Mfuko wa Jimbo

    MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. *Manunuzi yalifanywa na...
  8. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vijana kuwa na uzalendo na kufundishwa uzalendo wanapojiunga na majeshi ya ulinzi na usalama

    Kwanza nitoe pongezi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na mipaka ya nchi yetu, Huu ni mtazamo wangu kwa jinsi ninavyotazamia haya masuala ya ulinzi na usalama. Kuna jambo ambalo kama serikali inabidi ilizingatie kwa maslahi mapana ya taifa, Jambo...
  9. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa Mdada anaetambua umuhimu wa Mahusiano ya Urafiki

    Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele .. katika safari yangu ya maisha sikuwah kupata muda wa kuwa karibu sana na wasichana kwa sababu fulani , lakini kwa sasa niko available kwa...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mikoa ifuatayo kuna umuhimu kuwa na viwanja vya mchezo aa golf

    Tanga Mwanza Mbeya Dodoma Na mtwara Ni muhimu sana kuongeza motisha ya mchezo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Umuhimu wa mazoezi kwa akina dada. Wanawake wa Dar wajifunze sio kunenepa hovyo na kuvaa madela uswazi

  13. F

    JamiiForums Tanzania Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

    Sio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana. Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho...
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Orodha ya baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods)

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yafuatayo yananifanya nione hakuna umuhimu wa katiba mpya kwa sasa

    Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu vinahitaji kurekebishwa. Yafuatayo ni mambo yanayofanya nione umuhimu wa katiba tuliyanyo: I) Madaraka...
Back
Top Bottom