Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,305
Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali ilivyo kwa sasa. SABABU KUU YA KUULIZA ni kuwa karibu kila sekta utakuta kuna wazee wanaojiita vijana hali inayowanyima fursa wale vijana halisi kiumri. HII HAIKUBALIKI.

Kwa mfano huko CHADEMA utakuta kundi la Heche, Lema, Sugu, Halima Mdee, Hawa Bananga, Mnyika, na Cecilia Pareso nao wanatajwa kama vijana. Tena bila aibu hata wao hujiita viongozi vijana. Sio sawa. CCM utakuta mtu kama Kigwangala, Nchemba, Bashe, Silaa, Ridhiwani, hata Nape kwamba ni wabunge vijana.. inashangaza sana.

Ndugu wanaJF mnadhani ujana hukomea miaka mingapi?
 
30ndo iwe mwisho wa kuitwa kijana31_50kijana wa makamo,51nakuyeya Mzee kijana!
 
Ujana ni kuanzia miaka 14 na mwisho wake ni miaka 30 at maximum, miaka 31 mpaka 55 wewe ni mtu mzima, na kuanzia 56 na kuendelea wewe ni mzee!!
 
Ujana mwisho ni miaka 59
45 umri wa kiserikali

Wewe 52 kiserikali ni Mzee

Ndio maana ukivuka miaka 45 huajiriwi Serekalini kwenye Ajira zote mpya ni miaka 18-45 hawa ni vijana hakuna 18-60 wewe ushazeeka fanya fanya ule pension hio 60 wameweka tu Ila ilibidi muishie 45 mpishe wengine Ila tu basi wakawaongezea miaka 15 mbele ya kujaziajazia pension
 
45 umri wa kiserikali

Wewe 52 kiserikali ni Mzee

Ndio maana ukivuka miaka 45 huajiriwi Serekalini wewe ushazeeka fanya fanya ule pension hio 60 wameweka tu Ila ilibidi muishie 45 mpishe wengine
Mkuu!
Unajua kwanini Miaka ya mwisho iliwekwa Ya kuajiriwa ni 45?
Unahisi ni kwa sababu ya Uzee?

Hapana!
Ngoja nikujuze

Mtumishi uanza kusomwa kuwa pensionable au kuweza kuanza kulipwa Pension ya uzee iwapo atakuwa amechangia zaidi ya miezi 180 ambayo ni sawa na miaka 15..(Kulingana na sheria za LAPF na PSPF ambazo kwa sasa Zinaitwa Sheria za PSSF)

Ukiajiri mtu Mwenye miaka 46 na kuendelea Hatakidhi vigezo vya kuwa Muajiriwa wa Pensionable terms..

Hivyo itaathiri Kuweza kupata Mafao ya uzeeni au huenda asipate kabisa akapata only Michango yake aliyochangia..

So haihusiki na uzee ila inahusika na mafao..

Usilolijua..
Sera ya Afya Ya mwaka 2007 ambayo bado inatumika..

Inamtaja Mzee Ni mtu mwenye Umri kuanzia Miaka 60..
 
Kwa hio wewe ni Kijana au Mzee?
 
Kawaida,miaka 0-17 ni mtoto.
18-45 ni kijana.
46-60 ni mzee wa makamo.
60-80 ni mzee.
81+ ni kokongwe.
Kwa upande wa wanaume lakini.
Kuhusu wanawake subiri hangover iniishe Kwanza,maana nipo Baa hapa kwenye ulabu.
 
Back
Top Bottom