Wilaya nne za mkoa wa Mtwara zimekosa nishati ya umeme kwa takribani saa ishirini na nne na kupelekea baadhi ya shughuli za kiuchumi kusimama, baada wanafunzi wa kidato cha tatu na cha pili wa shule ya sekondari Mnyawi kuchezea laini kubwa ya umeme kwa kurusha miti na kufurahia mwanga pale nyaya...
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu?
Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza.
Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua.
Hata kama walisema...
Hapo vip!
Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi.
Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania.
Tunaomba serikali iwe sereous na...
Vitakua kote nchini....
The Kenya Power company, popularly known by its NSE ticker KPLC, has opened three charging stations in Nairobi and will be setting on a nationwide project installing other charging points along major highways, parking lots and malls.
The three charging stations in...
TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa!
Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa.
Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
Hapo vip!!
Huku maeneo ya Ngulelo, Kimandolu Sekei n.k umeme umekuwa unakatwa kuanzia saa 8 nane mchana mapaka siku inayofuatwa.
Kitu ambacho wananchi wenzangu wanalalamika ni kutopewa taarifa ili wapambane na hali ya hilisi kwasababu kuna watu wanategemea umeme kuingiza kipato.
Mfano...
Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme.
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda...
Wananchi wa Kata sita zinazopitiwa na Mradi wa Umeme wa Madope Hydro uliojengwa kwenye Kata ya Lugarawa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe wameulalamikia mradi huo kwa kushindwa kuwasaidia tangu uanzishwe mwaka 2016.
Baadhi yao akiwemo Bw, Bosco Mgina na Sabinus Haule wakazi wa Kijiji na Kta ya...
Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza.
Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
call/WhatsApp 0656 666 662
-Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme
-Ina matank mawili
-ina ingia lita 6 za mafuta kila tank
-made by stainless steel,haipati kutu
-inaivisha chips mara moja zaid ya jiko la gas na mkaa
-bei 185,000 tu
-free delivery in dar
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaagiza wakuu wa wilaya nchini wawakamate na kuwaweka mahabusu wananchi wanaoshindwa kuunganisha umeme katika nyumba zao baada ya miezi sita kwa kuwa serkali inatumia gharama kubwa kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vyao.
Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka.
Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
Mkandarasi wa Kampuni ya Edward General Electrical, ametiwa matatani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kuwatoza wananchi wanaohitaji kuunganishiwa umeme jijini hapa.
Hatua hiyo imechukuliwa ikiwa ni siku chache baada ya TAKUKURU kwa kushirikiana na Shirika la...
Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa.
Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa Striegler's George. Lakini bado kumekuwa na maoni mbalimbali ya watu juu ya huu Mradi na wengine...
Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.