umeme

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme watakiwa kuwa na leseni

    Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkandarasi abainika kuwatoza Wananchi pesa ya fomu za kuunganishiwa umeme licha ya fomu hizo kutolewa bure

    Mkandarasi wa Kampuni ya Edward General Electrical, ametiwa matatani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kuwatoza wananchi wanaohitaji kuunganishiwa umeme jijini hapa. Hatua hiyo imechukuliwa ikiwa ni siku chache baada ya TAKUKURU kwa kushirikiana na Shirika la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Texas Nchini Marekani latangaza mgao wa umeme

    Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa. Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hili la umeme, Rais Magufuli hawezi kukwamishwa, mtakwama ninyi

    UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI. Na Elius Ndabila 0768239284 Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa Striegler's George. Lakini bado kumekuwa na maoni mbalimbali ya watu juu ya huu Mradi na wengine...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Piga ua, mradi wa JKN Power Plant (Stiegler's Gorge) lazima ukamilike

    Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge. Huu mradi kiuchumi ni game changer. Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  8. Lucas strongman

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi & design

    Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuelewa ubunifu uzalishaji umeme utokanao na sumaku

    Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku? sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata solar ya kuizungusha hiyo sumaku ili itoe umeme? yaani ni sumaku tu ndio chanzo pekee?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya wilaya ya Korogwe haina umeme!

    Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme. Daktari mkuu wa wilaya amesema kukosekana kwa umeme kunawafanya washindwe kutoa huduma muhimu za maabara na upasuaji. Source ITV habari za saa Maendeleo hayana vyama
  11. Transistor

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuuzima Moto unaotokana na shoti ya umeme

    FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Habari wadau, Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT). Baada ya salaam twende kwenye maada yetu, FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  13. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

    Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele. Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  15. Starbay Electrical works

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Nawasalimu,kampuni yetu inatoa huduma za uwekaji wa umeme majumbani na viwandani kwa ubora wa hali ya juu,tunafanya kazi za sizi zote,tunauza vifaa vya umeme original,pia tunachora michoro ya umeme na kuidhinisha forms za maombi ya kufungiwa umeme. Tumesajiliwana bodi ya wakandarasi electrical...
  16. Kamotee

    JamiiForums Tanzania TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa majumbani na viwandani

    Ndugu wa jamii, Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani. Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima, mkopo wa benki, osha, crb, TANESCO), umeme wa jua, ukaguzi wa mifumo ya umeme, service a generator...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watu Wanne watiwa nguvuni kwa tuhuma za wizi wa nyaya za umeme

    Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akizungumza mara baada ya kuwakamata watu wanne wenye hatia ya kuiba nyaya za Umeme Mkoani humo. WAKATI Serikali ikielekeza nguvu kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na nishati ya umeme, mkoani Njombe watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Norway: Mauzo ya magari ya umeme yapiku yale yatumiayo petroli na dizeli

    Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo dizeli na petroli. Serikali ya Norway ina mpango wa kukataza mauzo ya magari yatumiayo petroli na...
Back
Top Bottom