Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
Habari wakuu,
Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara,
Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience,
Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7).
TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.
Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.
Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro
Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Habari za Mchana wadau.
Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh 100 kwa unit moja badala ya Tsh 2,000/- mpaka 3,700/- iliyokuwa ikitozwa.
My Take:
Inaonekana kama...
Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!!
HAWAKUISHIA HAPO
Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu...
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya:
Umeme usio wa uhakika
Maji yasio ya uhakika
Elimu ya kusuasua
Huduma bora ya afya kwa matabaka
Miundombinu ya wasiwasi
Ahadi za uongo kwa viongozi nk.
SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30
Nimepata nafasi ya kupiga kura
Kutathmini...
Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi...
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE:
Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation.
Pia...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), China ilizindua kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kilichoko Baihetan Kusini Magharibi mwa China. Kituo hicho ni moja ya miradi mikubwa ya umeme sio nchini China tu, bali pia duniani. Mradi...
Wafanyakazi wanne wa kampuni ya Khimji wamejeruhiwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme baada ya winchi walilokuwa wamepanda kugusa nyaya za nishati hiyo.
Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Julai Mosi, 2021 katika mtaa wa Kirumba inakofanyika shughuli ya kubomoa vibanda vya wamachinga wanaodaiwa...
Ujio wa gari zinazotumia nishati ya umeme hautoathiri sekta ya gesi asilia Tanzania.
Hii inaandikwa na mimi mwenyewe.
Tanzania tuna hifadhi kubwa ya gesi asilia ila kwa bahati mbaya hatuna mafuta. Tunahifadhi ya gesi ya methane na helium.
Sasa kama tunavyo jua ujio wa gari zinazotumia nishati...
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali.
natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097
Email: sylivesterstephano66@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.