Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero!
Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma!
Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewataka Watumishi wa Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) pamoja na REA, kufanya kazi kwa kasi, kwa ubunifu na kwa usahihi ili kuhakikisha vijiji vyote nchini vimeunganishwa na umeme ifikapo mwezi Desemba mwaka 2022.
” Ni kauli mbiu ya Wizara...
JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO.
✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa kawaida(mbaya) katika gari yako mapema ili uweze kuchukua hatua. Mfano wa taa hizo Ni Kama taa ya check...
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme.
Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata!
Tufanye nini?
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen
Amesema kampuni hizo zilipewa maagizo na waziri kuuza umeme kwa Tshs 100 lakini baada ya Rais Magufuli...
Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme.
Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin.
Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa.
Kuna nchi zina lalamika kuwa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma.
Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu...
Jiko la gasi na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja)
Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan.
Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua
kidogo.
Lipo Segerea - Dar es salaam
Bei: 450,000/
Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja)
Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan.
Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua
kidogo.
Lipo Segerea - Dar es salaam
Bei: 450,000/
Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha.
Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima
Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike;
Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
Hivi karibuni kulikuwa na changamoto iliyojitokeza na kukwamisha shughuli za Watu wengi kwa kukosa umeme.
Shirika la Umeme na Kampuni za Simu/Watoa huduma za Luku, waanzishe Bima ya token/unit ambapo Wateja watakuwa wananunua unit(token) za akiba zitakazohifahiwa kwenye akaunti zao na pindi...
Habari wakuu kutokana na kuwepo kwa tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku lililo tokea kuanzia tarehe 17/05/2021.
Shirika la umeme TANESCO limesema sasa huduma ya ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku imerejea Tanzania nzima hivyo kwa sasa unaweza Nunua umeme kwa njia zote za awali yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.