umeme

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati? Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

    Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme. Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6% Chanzo: Star tv...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  5. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukahama na mita yako ya umeme?

    Swali langu ni je inawezekana ukahama na mita yako ya umeme? Mfano ulipanga chumba cha biashara sehemu na hiyo sehemu hakukuwa na umeme ukafanya michakato TANESCO ukavuta umeme. Baada ya muda ukajenga chumba chako cha biashara na unataka kuhama hapo ulipopangisha. Je, inawezekana ukawaomba...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaokatakata umeme wajiandae kubeba virago, Aprili 15

    Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao hawatawaunganishia umeme wateja waliolipia huduma hiyo hadi Aprili 16 mwaka huu watapoteza ajira zao. Agizo hilo amelitoa juzi, mara baada ya kutembelea miradi ya umeme katika kata ya Ntyuka...
  7. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Umeme ukikatika eneo lako toa taarifa, mameneja wa wilaya wakizembea siku 15 nawashusha vyeo

    Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema. Waziri Kalemani ameeleza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aishukuru Serikali kwa kuanza utekelezaji wa miradi ya umeme Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN na DENSIFICATION yenye jumla ya gharama ya Tsh 68bn, ambayo itayafikia maeneo zaidi ya 120 katika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi walilipia umeme wa REA tangia mwezi wa tisa lakini hadi sasa hajapewa umeme

    Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme. Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
  10. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme

    Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika Faida za hii Mita nikwamba owapo mtumiaji mmoja kati ya wale wanaotumia umeme Luku moja zaidi ya wawili akiishiwa umeme hatapata tena...
  11. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kalemani Jiuzulu umeshindwa kuwajibisha wanaotukwamisha kwenye suala la umeme

    Wana JF Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja watawajibishwa. Leo hii nipo kikazi sehemu nasubiri umeme siku ya tatu. Kiwanda kimesimama. Moshi na Arusha...
  14. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa umeme

    Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar. Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanafunzi wasababisha tatizo la umeme kwa wilaya nne

    Wilaya nne za mkoa wa Mtwara zimekosa nishati ya umeme kwa takribani saa ishirini na nne na kupelekea baadhi ya shughuli za kiuchumi kusimama, baada wanafunzi wa kidato cha tatu na cha pili wa shule ya sekondari Mnyawi kuchezea laini kubwa ya umeme kwa kurusha miti na kufurahia mwanga pale nyaya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika katika, subira tafadhali, mambo kumbe iko Kidatu

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi: Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu? Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza. Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua. Hata kama walisema...
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la umeme linashusha uchumi wa nchi kwa kasi

    Hapo vip! Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi. Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania. Tunaomba serikali iwe sereous na...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituo zaidi vyazinduliwa vya kutia chaji magari yanayotumia umeme

    Vitakua kote nchini.... The Kenya Power company, popularly known by its NSE ticker KPLC, has opened three charging stations in Nairobi and will be setting on a nationwide project installing other charging points along major highways, parking lots and malls. The three charging stations in...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro mbona kila siku umeme hakuna kwa muda mrefu?

    TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa! Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Sengerema yakatiwa umeme na Tanesco

    Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa. Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
Back
Top Bottom