Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo

Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya

Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme

======

Several manufacturing companies are set to relocate from Kenya to Ethiopia in protest of the high cost of electricity, it has emerged.

This, even as the Government insists that it is working on a plan to bring down the cost of power, which has made locally made products to be less competitive.

One of the companies that will be setting up a plant in Ethiopia by November, citing high power bills is a major glass manufacturer that supplies some of the biggest bottling firms in the country.

The firm reckons the move could see it halve the price of its products in its new Addis Ababa base.

A senior employee of the company, who declined to be named, as he is not authorised to talk to the media, told The Standard that unlike in Kenya, where they paid Sh21 per kilowatt of electricity, they would only pay an equivalent of Sh4 for the same in Ethiopia.

“I don’t know what is wrong, but the power bills in Kenya are just crazy,” said the employee on the sidelines of the Third Manufacturing Summit and Expo that kicked off at the Kasarani Stadium in Nairobi, yesterday.

The company, which produces more than 2 million crates of bottles every month, said power bills alone set it back a staggering Sh300 million monthly.

A number of firms have already left Kenya, most of them relocating to Egypt and Ethiopia, which manufacturers have singled out as the country’s main competitors.

Yana Tyres manufacturer Sameer Africa Ltd shut down its Nairobi factory in 2016 after bruising competition from cheap tyres from China and India, which left it bleeding profusely. This saw hundreds of jobs lost.

Cadbury Kenya and battery manufacturer Eveready also closed down manufacturing plants in Nairobi in 2014, shifting their bases to Egypt, where they said labour and power costs were lower.

Major constraint

A senior member of the Kenya Association of Manufacturers told The Standard that another company that makes biscuits would also be moving its base to Ethiopia on the account of high cost of production.

Despite increased production of electricity, especially with the addition of geothermal power to the national grid, the cost of power has remained relatively high. It rose from Sh11 per kilowatt at one point during former President Mwai Kibaki's term to the current Sh21.

Trade and Industry CS Peter Munya conceded that the cost of power was a major constraint in Kenya’s goal to be regionally competitive. “Key constraint of manufacturing has been the cost of power, but the Government has been consistently addressing it,” said Munya.
 
Na bado mbona huo ni mwanzo tu

Ngoja ule mradi mkubwa wa kuzalisha umeme hapa EAC ukamilike.

Kuna takataka zinakuambia mradi wa JN hauna umuhimu ati ni white elephant!

White elephants projects tuliachia failed state.
 
Wao wanaenda Ethiopia & then Rais anawakaribisha WATZ huko, yaani kilichofanyika pale ni siasa za siasa
Anawapelekea gesi ili wazalishe umeme wenyewe, badala ya kuongeze thamani Tz na kuwauzia final product, hizo ndio akili za mama yetu genius fungulia nchi.
 
Anawapelekea gesi ili wazalishe umeme wenyewe, badala ya kuongeze thamani Tz na kuwauzia final product, hizo ndio akili za mama yetu genius fungulia nchi.
Kaka Gas ni bidhaa kama bidhaa nyingine mfano MAHINDI,KAHAWA,MAFUTA (oil) nk kwahiyo ni sawa tu kuiuza Nnje ya Nchi na ndio linalo hitajika kwani Natural Gas kwa sasa ndio source of Energy inakuja kuondoa matumizi ya mafuta kama vile PETROL na DIESEL kwani RESERVE iliyokuwapo inatosha kuuza Nje pia.

Pili Mauzo hayo ya Nje pesa zitakazo patikan ziweze kubadilisha maisha ya MTANZANIA moja kwa moja.

Mfano ,Elimu,Afya,miundombinu nk baada ya hapo WATANZANIA wata kuwa hawana ROHO za kimasikini watu watakuwa very positively katika maisha yao ya kawaida badala ya kufikiria ujenga ujenga kila wakati
Sababu unapo kuwa mtu maskini kawaida inaleta chuki kati yetu lile swala la UNYONGE linakuwa halipo tena.
 
Anawapelekea gesi ili wazalishe umeme wenyewe, badala ya kuongeze thamani Tz na kuwauzia final product, hizo ndio akili za mama yetu genius fungulia nchi.
Hizi mambo hizi zitatugharimu sana huko mbele, narudia kwa sasa hatutaona madhara ya haya yanayofanyika sasa.
 
Kaka Gas ni bidhaa kama bidhaa nyingine mfano MAHINDI,KAHAWA,MAFUTA (oil) nk kwahiyo ni sawa tu kuiuza Nnje ya Nchi na ndio linalo hitajika kwani Natural Gas kwa sasa ndio source of Energy inakuja kuondoa matumizi ya mafuta kama vile PETROL na DIESEL kwani RESERVE iliyokuwapo inatosha kuuza Nje pia.

Pili Mauzo hayo ya Nje pesa zitakazo patikan ziweze kubadilisha maisha ya MTANZANIA moja kwa moja.

Mfano ,Elimu,Afya,miundombinu nk baada ya hapo WATANZANIA wata kuwa hawana ROHO za kimasikini watu watakuwa very positively katika maisha yao ya kawaida badala ya kufikiria ujenga ujenga kila wakati
Sababu unapo kuwa mtu maskini kawaida inaleta chuki kati yetu lile swala la UNYONGE linakuwa halipo tena.
Kenya tuna pakana nao, unawauzia gesi wanaenda kutengeneza umeme na kuvutia wawekezaji viwandani, kwa nini usitengeneze umeme ukawauzia final products, kwa nini usisogeze bomba hadi Tanga ukaweka industrial park ukauza final products Kenya na nchi nyingine zinazopakana na Kenya, hivi hizi basics zinahitaji mchumi pia?
 
Kaka Gas ni bidhaa kama bidhaa nyingine mfano MAHINDI,KAHAWA,MAFUTA (oil) nk kwahiyo ni sawa tu kuiuza Nnje ya Nchi na ndio linalo hitajika kwani Natural Gas kwa sasa ndio source of Energy inakuja kuondoa matumizi ya mafuta kama vile PETROL na DIESEL kwani RESERVE iliyokuwapo inatosha kuuza Nje pia.

Pili Mauzo hayo ya Nje pesa zitakazo patikan ziweze kubadilisha maisha ya MTANZANIA moja kwa moja.

Mfano ,Elimu,Afya,miundombinu nk baada ya hapo WATANZANIA wata kuwa hawana ROHO za kimasikini watu watakuwa very positively katika maisha yao ya kawaida badala ya kufikiria ujenga ujenga kila wakati
Sababu unapo kuwa mtu maskini kawaida inaleta chuki kati yetu lile swala la UNYONGE linakuwa halipo tena.

hujajibu hoja unatetea uwezo wako WA kufikiri kwenye hoja ya mtu. poor reasoning capacity.
 
Back
Top Bottom