umeme

  1. M

    INAUZWA Fryer mpya ya umeme ya chips

    call/WhatsApp 0656 666 662 -Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme -Ina matank mawili -ina ingia lita 6 za mafuta kila tank -made by stainless steel,haipati kutu -inaivisha chips mara moja zaid ya jiko la gas na mkaa -bei 185,000 tu -free delivery in dar
  2. Tanki

    Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

    Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V. Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
  3. Cannabis

    Waziri wa Nishati aagiza wakuu wa wilaya kukamata na kuwaweka mahabusu wananchi watakaoshindwa kuunganisha umeme kwenye nyumba zao baada ya miezi sita

    Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaagiza wakuu wa wilaya nchini wawakamate na kuwaweka mahabusu wananchi wanaoshindwa kuunganisha umeme katika nyumba zao baada ya miezi sita kwa kuwa serkali inatumia gharama kubwa kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vyao.
  4. Analogia Malenga

    Mafundi umeme watakiwa kuwa na leseni

    Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
  5. Miss Zomboko

    Dodoma: Mkandarasi abainika kuwatoza Wananchi pesa ya fomu za kuunganishiwa umeme licha ya fomu hizo kutolewa bure

    Mkandarasi wa Kampuni ya Edward General Electrical, ametiwa matatani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kuwatoza wananchi wanaohitaji kuunganishiwa umeme jijini hapa. Hatua hiyo imechukuliwa ikiwa ni siku chache baada ya TAKUKURU kwa kushirikiana na Shirika la...
  6. K

    Jimbo la Texas Nchini Marekani latangaza mgao wa umeme

    Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa. Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
  7. Elius W Ndabila

    Hili la umeme, Rais Magufuli hawezi kukwamishwa, mtakwama ninyi

    UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI. Na Elius Ndabila 0768239284 Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa Striegler's George. Lakini bado kumekuwa na maoni mbalimbali ya watu juu ya huu Mradi na wengine...
  8. Jidu La Mabambasi

    Piga ua, mradi wa JKN Power Plant (Stiegler's Gorge) lazima ukamilike

    Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge. Huu mradi kiuchumi ni game changer. Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi...
  9. R

    Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  10. Replica

    TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  11. Lucas strongman

    Fundi rangi & design

    Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
  12. S

    Msaada wa kuelewa ubunifu uzalishaji umeme utokanao na sumaku

    Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku? sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata solar ya kuizungusha hiyo sumaku ili itoe umeme? yaani ni sumaku tu ndio chanzo pekee?
  13. J

    Hospitali ya wilaya ya Korogwe haina umeme!

    Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme. Daktari mkuu wa wilaya amesema kukosekana kwa umeme kunawafanya washindwe kutoa huduma muhimu za maabara na upasuaji. Source ITV habari za saa Maendeleo hayana vyama
  14. Transistor

    Fahamu namna ya kuuzima Moto unaotokana na shoti ya umeme

    FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Habari wadau, Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT). Baada ya salaam twende kwenye maada yetu, FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
  15. J

    Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  16. Pastory Kimaryo

    Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

    Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele. Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
  17. Analogia Malenga

    Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  18. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Nawasalimu,kampuni yetu inatoa huduma za uwekaji wa umeme majumbani na viwandani kwa ubora wa hali ya juu,tunafanya kazi za sizi zote,tunauza vifaa vya umeme original,pia tunachora michoro ya umeme na kuidhinisha forms za maombi ya kufungiwa umeme. Tumesajiliwana bodi ya wakandarasi electrical...
  19. Kamotee

    TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  20. M

    Wataalam wa umeme wa majumbani na viwandani

    Ndugu wa jamii, Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani. Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima, mkopo wa benki, osha, crb, TANESCO), umeme wa jua, ukaguzi wa mifumo ya umeme, service a generator...
Back
Top Bottom