Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Habari wakuu kutokana na kuwepo kwa tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku lililo tokea kuanzia tarehe 17/05/2021.
Shirika la umeme TANESCO limesema sasa huduma ya ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku imerejea Tanzania nzima hivyo kwa sasa unaweza Nunua umeme kwa njia zote za awali yaani Simu, Benki au ofisini TANESCO.
Shirika liliomba Radhi hapo Awali.