umeme

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  2. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV kutoka na umeme

    Habar zenu wakuu wa humu ndani, Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama. Je, nichague circuit breaker yenye rating gani(single pole) kwa ajili ya usalama wa TV yangu?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi. Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  5. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Makamba: Bei ya umeme haijapanda

    Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa. ==== Serikali imewataka wananchi kupuuza taarifa za kwamba bei ya umeme imepanda nchini. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 9, 2022 na Waziri wa Nishati...
  6. Cpp

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye kununua umeme

    Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
  7. Memento

    JamiiForums Tanzania Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

    Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu. Pia hii sh. 357 ni ndogo sana, Serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

    Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala. Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Bei ya Umeme Kenya ni mara mbili ya Tanzania

    KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa bei chini ya umeme kuliko nchi zote Afrika mashariki na kusisitiza kuwa nafuu hiyo ya bei ni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Trilioni 2.9: Gridi ya taifa kufika Kigoma na Katavi kabla ya Oktoba 2022

    Salaam, MWANZO 1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari. 2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza. 3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa. Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu ni mgao wa umeme au matengenezo ya miundo mbinu ya umeme iliyochakaa?

    Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa. Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc. Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
  12. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukatakata umeme!

    Siku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20. Nia yenu ni nini? Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe. Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

    TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme... Acha upepo uendelee...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

    Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
  16. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata pikipiki ya umeme hapa nchini

    Mafuta yamekuwa kero, Mwenye uwezo wa kubadili mfumo wa injini ya mafuta kwenda umeme au pikipiki ya umeme completely. Na pia gharama zake zimekaaje respectively
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

    Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
  18. Kuwite94

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mgunduzi wa umeme Duniani

    Nikola Tesla alikua na akili kiasi cha watu kumuona ni mwendawazimu, lakin huyu ndo ameiwashia dunia umeme, ni mtu wa kwanza kugundua mawimbi ya radio, minara ya simu, wirelessly technology, leo hii maji/upepo/gas inageuka kuwa umeme, unasikiliza radio kutoka mbali, unapiga simu kwenda mbali ni...
  19. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
  20. Tunkamanin

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
Back
Top Bottom