Ulinzi wa TV kutoka na umeme

Felixtz

Member
Oct 19, 2015
55
17
Habar zenu wakuu wa humu ndani,

Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama.

Je, nichague circuit breaker yenye rating gani(single pole) kwa ajili ya usalama wa TV yangu?
 
Sijakuelewa, hiyo picha iko wapi? Unataka uilinde vipi circuit breaker??

je Tv Guard haiwezi kuilinda au?
 
Sijakuelewa, hiyo picha iko wapi? Unataka uilinde vipi circuit breaker??

je Tv Guard haiwezi kuilinda au?
Screenshot_20220619-172947.png

Hiyo ndio specs za tv husika, so tv guard ninayo, ila vp mkuu naeza tumia tv guard bila kuweka circuit breaker?, Na vp nikiviweka vyote itakuaj?
 
Hakuna nyumba ambayo haina circuit breaker hizo ni requirement za Tanesco umeme unaotumia ndani umeshapita kwnye hiyo circuit na kazi yake kubwa ni kulinda nyumba incase of electric shock au radi na vitu vingine vikubwa

Swala la kulinda TV unatumia TV guard maana circuit breaker hailindivkupanda ua kushuka kwa umeke ila TV guard inafanya kazi hiyo ina regulate kiwangu stahiki cha umeme kwenye kifaa endapo umeme ukiwa mkubwa kinazuia

Nadhani umepata uelewa kidogo
 
Back
Top Bottom