Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta
Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
Ndugu zangu watanzania
Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka!
Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1.
Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8...
"....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike."
TANESCO.
=======
Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana.
Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili.
Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena?
Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge.
Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood.
Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022.
Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya...
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump.
Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini?
Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
Bila shaka Kazi inaendelea..
Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati.
Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa.
Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
Imeandikwa na Ras Zimba
Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa.
Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.