umeme

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  2. Greataziz

    JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

    Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali. Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo katika mikoa 17 itakayokosa umeme kwa siku mbili Oktoba 9 & 10, 2022

    TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu. Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  6. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pepsi kupokea Semi Trucks za Tesla Desemba 1, 2022

    Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1. Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mabwawa ya kufua umeme yamekauka

    "....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike." TANESCO. ======= Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme uliotangazwa na TANESCO kwa ajili ya ukame. Je, tutegemee mgao zaidi hata litakapokamilika bwawa la Nyerere?

    Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi umeme ni huku bush niliko au na huko mjini?

    Sasa siku imepotea tena. Hapa kurudi ni saa 12 jioni. Huu ni ubabaishaji.
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari, hakuna kinachoenda

    Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari. Hakuna kinachoenda. Siku nyingine inaenda kupotea.
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya kukatika Umeme mikoa ya Tanga na Pemba

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022. Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  18. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  19. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini? Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
Back
Top Bottom