umeme

  1. ragin

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

    Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,, 1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu? 2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme nikiweka itakatwa? 3/ Vipi kuhusu meter kuu kama wenzangu hawajaingiza umeme na tuko giza mimi wangu...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aeleza alivyovumilia mashambulizi, ajifananisha na Kocha Mourinho sakata la kukatika kwa umeme

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua kwani kila umeme unapokatika jina linaloibwa ni lake. “Kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua, kila umeme unapokatika jina lililoimbwa ni la kwangu wala sio...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao. Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu “Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tatizo la kukatika umeme limemkimbiza mwekezaji wa kiwanda cha nguo Simiyu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameeleza bayana kuwa tatizo la kukatika kwa umeme kwa Mkoa wa Simiyu kumesababisha mwekezaji wa Kiwanda cha nguo kinachotumia malighafi ya pamba kushindwa kuwekeza katika Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa alikuwa akitoa maelezo hayo kwa Waziri wa Nishati, Januari...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha kabla ya maji na umeme kufika majumbani

    Juu ya meza iliyo kando ya kitanda utaona taa iliyotumia mafuta, bakuli na jagi la maji. Hivi vilikua ni vitu vya muhimu sana chumbani kwa mstaarabu. Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto, kabla ya hapo watu walitumia sana mishumaa ambayo maya nyingi ilishika moto wa pazia au karatasi zilizo...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

    Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11. Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas. Source: Azam news
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maajabu Jimbo la Igalula kata ya Loya, Taasisi za umma na Serikali kutounganishwa kwa umeme

    Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme! Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  11. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Japan yawataka raia milioni 37 kuzima taa kukabiliana na wimbi la joto na uhaba wa umeme

    Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
  13. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

    Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu. (1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
  14. Mayova

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  16. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV kutoka na umeme

    Habar zenu wakuu wa humu ndani, Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama. Je, nichague circuit breaker yenye rating gani(single pole) kwa ajili ya usalama wa TV yangu?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi. Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  19. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Makamba: Bei ya umeme haijapanda

    Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa. ==== Serikali imewataka wananchi kupuuza taarifa za kwamba bei ya umeme imepanda nchini. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 9, 2022 na Waziri wa Nishati...
  20. Cpp

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye kununua umeme

    Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
Back
Top Bottom