Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,914
15,529
TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo.

Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme...

Acha upepo uendelee kuvuma kwa nguvu, tuzione nyeti za kuku zilivyo 😂😂😇😇

Screenshot_20220522-133708_Chrome.jpg
 
TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo.

Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme...

Acha upepo uendelee kuvuma kwa nguvu, tuzione nyeti za kuku zilivyo 😂😂😇😇

View attachment 2234244
Lithuania naye ana nini ?
 
Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Vita ya kiuchumi alianza US dhidi ya China. Hakuna chanzo cha nishati kwa sasa duniani kinachoipiku gesi.Tulisema mwanzo hapa na tumeona nchi zote zimepwaya mbele ya Urusi.Nchi jeuri kama Ujerumani imeufyata sasa.Wangeacha kununua kwa rubli nchi ingepinduliwa.
 
Na aliyekwambia Ujerumani inafanya manunuzi Urusi kwa kutumia Rouble nani? Ebu jiridhishe kwanza kabla hujajibu.
 
Fuatilia vitu deeply acha mahaba amna Member ambaye kasalia kwenye mgomo watalipa ruble mpaka 2026 watakapopat mbadala
Unashindwa nini ku Google na kuujua ukweli? Anyway, ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma. Ujerumani inalipa kwenye banks za Urusi kwa kutumia Euro Currency. Kisha banks zinalipa Urusi kwa kutumia Rouble. Na hayo ndio makubaliano baada ua Ujerumani kugoma kulipa kwa Rouble. Umeelewa?
 
Bwege kweli sasa kama mfano wewe ukiambiwa ulipie mzigo wa DHL kwa dollar 100 kisha ukasema unagomea kulipa kwa dollar ila utalipa Tsh. 232,600 ili DHL wenyewe waiconvert kwenda kwenye dollar kabla ya kuidhinisha malipo yako whats the difference zaidi ya utoto?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom