Huu ni mgao wa umeme au matengenezo ya miundo mbinu ya umeme iliyochakaa?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa.

Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc.

Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie sasa nini kinaendelea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom