Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

Status
Not open for further replies.

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,456
9,911
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii

Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.

Pia hii sh. 357 ni ndogo sana, Serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili la Tanesco. Hivyo nitoe ombi kwa Serikali kuongeza zaidi bei kufikia sh.700 kwa unit 1.

Nimpongeze Waziri kwa ubunifu huu wa kuongeza bei ye umeme.

Mbona bei ni hiyo hiyo tangu mimi naanza kununia umeme

Unit 1= 357tsh/= au wamepandisha kutoka hiyo 357/=

Maana mwezi uliopita nilinunua umeme wa elf10 nikapewa unit 28

10000÷28=357.1

sasa imepanda lini?

Nimenunua juzi wala sijaona hilo ongezeko la Bei, labda Kama Bei imepanda Jana au Leo hapo nitaelewa, View attachment 2255255
 

Bejamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
65,783
70,098
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii

Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.

Pia hii sh.357 ni ndogo sana, serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili la Tanesco. Hivyo nitoe ombi kwa serikali kuongeza zaidi bei kufikia sh.700 kwa unit 1.

Nimpongeze waziri kwa ubunifu huu wa kuongeza bei ye umeme.
Watuwekee hata 2,300 kwa unit
 
Status
Not open for further replies.
15 Reactions
Reply
Top Bottom