Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Trilioni 2.9: Gridi ya taifa kufika Kigoma na Katavi kabla ya Oktoba 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,807
11,969
Salaam,

MWANZO

1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari.

2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza.

3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa.

Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa Nishati January Makamba amesema, 'Kwa mara ya kwanza Gridi ya Taifa kufika Kigoma kabla ya mwezi wa kumi mwaka huu'

Mheshimiwa Spika, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

Tumekuja na Mradi Kabambe wa kuimarisha Gridi ya Taifa. Mradi huu unahusu maeneo ya utekelezaji: -
(i) Kununua na kufunga mashineumba (transformers) 6,000;

(ii) Kununua na kusimika nguzo za njia za kusafirisha umeme 380,000;
(iii) Kununua na kufunga nyaya zenye urefu wa kilomita 46,200;
(iv) Kununua na kufunga mita za Luku 700,000;

(v) Kujenga vituo vya kupooza umeme (grid substations) 14 za 220/33kV na 132/33Kv;
(vi) Kununua na kufunga mashineumba kubwa (power transformers) 27 za size ya 50MVA, 60MVA, 90MVA na 120 MVA;
(vii) Kujenga njia za kusafirisha umeme za urefu wa kilomita 948 za msongo wa kV 132 na kV 220.

Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420.

Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.00

= TANESCO kwa kushirikiana na TRC itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR

= 'TANESCO kwa kushirikiana na Shirika la Reli Nchini (TRC) itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR' - @JMakamba #DiraMpyaNishati

= Mradi utahusisha ufungaji wa mifumo ya umeme katika vijiji 35 vilivyopo katika visiwa 47 katika Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa na Delta ya Rufiji. Gharama ya mradi ni Shilingi Bilioni 54.48. Katika Mwaka 2022/23, kiasi kilichotengwa ni Shilingi Bilioni 20.00 kutoka Serikali ya Tanzania

= Aidha, katika mwaka 2022/23, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango, itaangalia uwezekano wa kupata wakandarasi watakaowezesha upatikanaji wa fedha pamoja na utekelezaji wa miradi kwa kutumia mfumo ujulikanao kama “Engineering, Procurement, Construction Plus Financing (EPC+F).

= Kwa kuzingatia mwenendo wa bajeti kila mwaka ya kupeleka umeme vijijini, itachukua zaidi ya miaka 15 kufikisha umeme katika vitongoji vilivyosalia. Kwa muktadha huo, Serikali itahakikisha rasilimali fedha inapatikana ili kufikisha umeme katika vitongoji vyote.

= kwa miaka mingi, imekuwa ni azma ya nchi yetu kuingia kwenye uchumi wa gesi ambao utakuza mapato ya serikali na kuwanufaisha wananchi. Katika mwaka ujao wa fedha, Serikali itachukua hatua madhubuti kuharakisha azma hiyo. Hatua zitakazochukuliwa katika mwaka 2022/23 kuhusu uendelezaji wa Sekta hii ni kama ifuatavyo:

= Serikali kupitia PURA itaandaa ramani ya kidijitali yenye taarifa za utafutaji, uendelezaji na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia nchini (Interactive Digital Petroleum Activities Map) ili kuongeza wigo wa utekelezaji wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli nchini. Shilingi bilioni 1.69 zimetengwa kwa ajili ya kazi hizi

= Serikali ilitenga vitalu vya mafuta na gesi vya kimkakati kwa ajili ya kuipatia TPDC ili kuijengea uwezo na uzoefu. Vitalu hivyo ni Mnazi Bay Kaskazini, Eyasi-Wembere, Songosongo Magharibi. Ziwa Tanganyika na 4/1B na 4/1C. Katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Serikali imetenga kiasi kwa shilingi bilioni 102.167 kwa ajili ya kazi mbalimbali za maandalizi ya uchimbaji wa gesi na mafuta kwenye vitalu hivyo.

= Napenda kutoa taarifa kwa Bunge lako tukufu kwamba hatua ya kwanza na muhimu ya mazungumzo kati ya Serikali na Makampuni ya Gesi na Mafuta kuhusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi (LNG) Lindi, imefanikiwa.

= Baada ya tarehe 9 Juni 2022, tutakuwa tayari kusaini Mkataba Hodhi (HGA) kati ya Serikali na Makampuni haya.

= kutokana na ukubwa pamoja na manufaa yatakayopatikana katika mradi wa LNG, ikiwemo kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo utakapotekelezwa na kitaifa, Serikali ina mpango wa kuanzisha Ukanda Maalum wa Kiuchumi (Special Economic Zone) katika eneo la mradi ambapo maeneo yatatengwa na kuendelezwa kwa ajili ya uwekezaji, uzalishaji na biashara.

Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia gesi asilia kwenye magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini.

Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.

Mradi wa uanzishwaji wa Hifadhi ya Kimkakati ya Mafuta (Strategic Petroleum Reserve - SPR) unahusisha uratibu wa uagizaji, uhifadhi na usambazaji wa bidhaa za mafuta kwa kipindi mahsusi.

Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).

Serikali kupitia TPDC inashiriki katika biashara ya usambazaji mafuta kupitia TANOIL (ambayo ni kampuni tanzu ya TPDC). TANOIL itaendelea na uagizaji wa mafuta kwa ujazo usiopungua tani 20,000 kwa mwezi. Ushiriki wa TANOIL umeimarisha ushiriki wa Serikali na kujenga uwezo wa TPDC na TANOIL katika biashara ya mafuta. Aidha, Ili kuimarisha mtandao wa usambazaji, TPDC kupitia TANOIL itajenga na kukarabati vituo vyake ili kusogeza huduma zake karibu na wananchi. Jumla ya Shilingi bilioni 2.04 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza kazi hiyo.

Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.

Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.

1. Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini badala ya Mafuta.

2. Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.

3. Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi

5. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi.

6. Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.

7. Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.

Kuhusu kukatikatika Umeme, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420. Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliomba Bunge kumuidhinishia bajeti ya jumla ya Shilingi 2,905,981,533,000 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake
 
Attachments

  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YA MWAKA 2022-23 (1).pdf
    1.6 MB · Views: 5
Headlines za Graphics
1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari.

2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza.

3. Kwa mara ya kwanza Kigoma kuanza kupata Umeme wa Gridi ya TAIFA.

4. Miradi 7 ya Umeme Jua, Upepo na Maporomoko ya Maji yapata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza

5. Deni la TANESCO kwa Serikali yafikiriwa kubadilishwa kuwa hisa za Serikali.
 
Salaam,

MWANZO

1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari.

2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza.

3. Kwa mara ya kwanza Kigoma kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa.

Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa Nishati January Makamba amesema, 'Kwa mara ya kwanza Gridi ya Taifa kufika Kigoma kabla ya mwezi wa kumi mwaka huu'

Mheshimiwa Spika, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

Tumekuja na Mradi Kabambe wa kuimarisha Gridi ya Taifa. Mradi huu unahusu maeneo ya utekelezaji: -
(i) Kununua na kufunga mashineumba (transformers) 6,000;

(ii) Kununua na kusimika nguzo za njia za kusafirisha umeme 380,000;
(iii) Kununua na kufunga nyaya zenye urefu wa kilomita 46,200;
(iv) Kununua na kufunga mita za Luku 700,000;

(v) Kujenga vituo vya kupooza umeme (grid substations) 14 za 220/33kV na 132/33Kv;
(vi) Kununua na kufunga mashineumba kubwa (power transformers) 27 za size ya 50MVA, 60MVA, 90MVA na 120 MVA;
(vii) Kujenga njia za kusafirisha umeme za urefu wa kilomita 948 za msongo wa kV 132 na kV 220.

Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420.

Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.00

= TANESCO kwa kushirikiana na TRC itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR

= 'TANESCO kwa kushirikiana na Shirika la Reli Nchini (TRC) itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR' - @JMakamba #DiraMpyaNishati

= Mradi utahusisha ufungaji wa mifumo ya umeme katika vijiji 35 vilivyopo katika visiwa 47 katika Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa na Delta ya Rufiji. Gharama ya mradi ni Shilingi Bilioni 54.48. Katika Mwaka 2022/23, kiasi kilichotengwa ni Shilingi Bilioni 20.00 kutoka Serikali ya Tanzania

= Aidha, katika mwaka 2022/23, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango, itaangalia uwezekano wa kupata wakandarasi watakaowezesha upatikanaji wa fedha pamoja na utekelezaji wa miradi kwa kutumia mfumo ujulikanao kama “Engineering, Procurement, Construction Plus Financing (EPC+F).

= Kwa kuzingatia mwenendo wa bajeti kila mwaka ya kupeleka umeme vijijini, itachukua zaidi ya miaka 15 kufikisha umeme katika vitongoji vilivyosalia. Kwa muktadha huo, Serikali itahakikisha rasilimali fedha inapatikana ili kufikisha umeme katika vitongoji vyote.

= kwa miaka mingi, imekuwa ni azma ya nchi yetu kuingia kwenye uchumi wa gesi ambao utakuza mapato ya serikali na kuwanufaisha wananchi. Katika mwaka ujao wa fedha, Serikali itachukua hatua madhubuti kuharakisha azma hiyo. Hatua zitakazochukuliwa katika mwaka 2022/23 kuhusu uendelezaji wa Sekta hii ni kama ifuatavyo:

= Serikali kupitia PURA itaandaa ramani ya kidijitali yenye taarifa za utafutaji, uendelezaji na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia nchini (Interactive Digital Petroleum Activities Map) ili kuongeza wigo wa utekelezaji wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli nchini. Shilingi bilioni 1.69 zimetengwa kwa ajili ya kazi hizi

= Serikali ilitenga vitalu vya mafuta na gesi vya kimkakati kwa ajili ya kuipatia TPDC ili kuijengea uwezo na uzoefu. Vitalu hivyo ni Mnazi Bay Kaskazini, Eyasi-Wembere, Songosongo Magharibi. Ziwa Tanganyika na 4/1B na 4/1C. Katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Serikali imetenga kiasi kwa shilingi bilioni 102.167 kwa ajili ya kazi mbalimbali za maandalizi ya uchimbaji wa gesi na mafuta kwenye vitalu hivyo.

= Napenda kutoa taarifa kwa Bunge lako tukufu kwamba hatua ya kwanza na muhimu ya mazungumzo kati ya Serikali na Makampuni ya Gesi na Mafuta kuhusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi (LNG) Lindi, imefanikiwa.

= Baada ya tarehe 9 Juni 2022, tutakuwa tayari kusaini Mkataba Hodhi (HGA) kati ya Serikali na Makampuni haya.

= kutokana na ukubwa pamoja na manufaa yatakayopatikana katika mradi wa LNG, ikiwemo kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo utakapotekelezwa na kitaifa, Serikali ina mpango wa kuanzisha Ukanda Maalum wa Kiuchumi (Special Economic Zone) katika eneo la mradi ambapo maeneo yatatengwa na kuendelezwa kwa ajili ya uwekezaji, uzalishaji na biashara.

[6/1, 11:09] +255 756 310 078: Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia gesi asilia kwenye magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini.
[6/1, 11:12] +255 756 310 078: Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.
[6/1, 11:13] +255 756 310 078: mradi wa uanzishwaji wa Hifadhi ya Kimkakati ya Mafuta (Strategic Petroleum Reserve - SPR) unahusisha uratibu wa uagizaji, uhifadhi na usambazaji wa bidhaa za mafuta kwa kipindi mahsusi.
[6/1, 11:13] +255 756 310 078: Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).
[6/1, 11:15] +255 756 310 078: Serikali kupitia TPDC inashiriki katika biashara ya usambazaji mafuta kupitia TANOIL (ambayo ni kampuni tanzu ya TPDC). TANOIL itaendelea na uagizaji wa mafuta kwa ujazo usiopungua tani 20,000 kwa mwezi. Ushiriki wa TANOIL umeimarisha ushiriki wa Serikali na kujenga uwezo wa TPDC na TANOIL katika biashara ya mafuta. Aidha, Ili kuimarisha mtandao wa usambazaji, TPDC kupitia TANOIL itajenga na kukarabati vituo vyake ili kusogeza huduma zake karibu na wananchi. Jumla ya Shilingi bilioni 2.04 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza kazi hiyo.
[6/1, 11:16] +255 756 310 078: Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.
[6/1, 11:19] +255 756 310 078: Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.
[6/1, 11:59] Askofu Msaidizi MWANA FA: 1. Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini badala ya Mafuta.
[6/1, 12:00] Askofu Msaidizi MWANA FA: 2. Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.

#DiraMpyaNishati
[6/1, 12:01] Askofu Msaidizi MWANA FA: 3. Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).
#DiraMpyaNishati
[6/1, 12:02] +255 754 711 619: Key highlights:12:10

1. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi
[6/1, 12:03] Askofu Msaidizi MWANA FA: 5. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi.

#DiraMpyaNishati
[6/1, 12:04] Askofu Msaidizi MWANA FA: 6. Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.

#DiraMpyaNishati
[6/1, 12:05] Askofu Msaidizi MWANA FA: 7. Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.

#DiraMpyaNishati
[6/1, 12:07] Askofu Msaidizi MWANA FA: 4. Kuhusu kukatikatika Umeme, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme. Tumekuja na Mradi Kabambe wa kuimarisha Gridi ya Taifa. Mradi huu unahusu maeneo ya utekelezaji: -
(i) Kununua na kufunga mashineumba (transformers) 6,000;
(ii) Kununua na kusimika nguzo za njia za kusafirisha umeme 380,000;
(iii) Kununua na kufunga nyaya zenye urefu wa kilomita 46,200;
(iv) Kununua na kufunga mita za Luku 700,000;
(v) Kujenga vituo vya kupooza umeme (grid substations) 14 za 220/33kV na 132/33Kv;
(vi) Kununua na kufunga mashineumba kubwa (power transformers) 27 za size ya 50MVA, 60MVA, 90MVA na 120 MVA;
(vii) Kujenga njia za kusafirisha umeme za urefu wa kilomita 948 za msongo wa kV 132 na kV 220.
Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420. Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.0012:10
Na bei ya mafuta ndiyo mmetudanganya mmepunguza shilingi mia tu!!!! Siasa mbaya sana. Hawa watu wameshindwa kuongoza hii nchi.
 
Salaam,

MWANZO

1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari.

2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza.

3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa.

Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa Nishati January Makamba amesema, 'Kwa mara ya kwanza Gridi ya Taifa kufika Kigoma kabla ya mwezi wa kumi mwaka huu'

Mheshimiwa Spika, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

Tumekuja na Mradi Kabambe wa kuimarisha Gridi ya Taifa. Mradi huu unahusu maeneo ya utekelezaji: -
(i) Kununua na kufunga mashineumba (transformers) 6,000;

(ii) Kununua na kusimika nguzo za njia za kusafirisha umeme 380,000;
(iii) Kununua na kufunga nyaya zenye urefu wa kilomita 46,200;
(iv) Kununua na kufunga mita za Luku 700,000;

(v) Kujenga vituo vya kupooza umeme (grid substations) 14 za 220/33kV na 132/33Kv;
(vi) Kununua na kufunga mashineumba kubwa (power transformers) 27 za size ya 50MVA, 60MVA, 90MVA na 120 MVA;
(vii) Kujenga njia za kusafirisha umeme za urefu wa kilomita 948 za msongo wa kV 132 na kV 220.

Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420.

Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.00

= TANESCO kwa kushirikiana na TRC itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR

= 'TANESCO kwa kushirikiana na Shirika la Reli Nchini (TRC) itaendelea kuhakikisha miundombinu ya umeme msongo wa kV 220 yenye urefu kwa kilomita 415 inakamilika kuhakikisha uhakika wa umeme kwenye reli ya SGR' - @JMakamba #DiraMpyaNishati

= Mradi utahusisha ufungaji wa mifumo ya umeme katika vijiji 35 vilivyopo katika visiwa 47 katika Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa na Delta ya Rufiji. Gharama ya mradi ni Shilingi Bilioni 54.48. Katika Mwaka 2022/23, kiasi kilichotengwa ni Shilingi Bilioni 20.00 kutoka Serikali ya Tanzania

= Aidha, katika mwaka 2022/23, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango, itaangalia uwezekano wa kupata wakandarasi watakaowezesha upatikanaji wa fedha pamoja na utekelezaji wa miradi kwa kutumia mfumo ujulikanao kama “Engineering, Procurement, Construction Plus Financing (EPC+F).

= Kwa kuzingatia mwenendo wa bajeti kila mwaka ya kupeleka umeme vijijini, itachukua zaidi ya miaka 15 kufikisha umeme katika vitongoji vilivyosalia. Kwa muktadha huo, Serikali itahakikisha rasilimali fedha inapatikana ili kufikisha umeme katika vitongoji vyote.

= kwa miaka mingi, imekuwa ni azma ya nchi yetu kuingia kwenye uchumi wa gesi ambao utakuza mapato ya serikali na kuwanufaisha wananchi. Katika mwaka ujao wa fedha, Serikali itachukua hatua madhubuti kuharakisha azma hiyo. Hatua zitakazochukuliwa katika mwaka 2022/23 kuhusu uendelezaji wa Sekta hii ni kama ifuatavyo:

= Serikali kupitia PURA itaandaa ramani ya kidijitali yenye taarifa za utafutaji, uendelezaji na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia nchini (Interactive Digital Petroleum Activities Map) ili kuongeza wigo wa utekelezaji wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli nchini. Shilingi bilioni 1.69 zimetengwa kwa ajili ya kazi hizi

= Serikali ilitenga vitalu vya mafuta na gesi vya kimkakati kwa ajili ya kuipatia TPDC ili kuijengea uwezo na uzoefu. Vitalu hivyo ni Mnazi Bay Kaskazini, Eyasi-Wembere, Songosongo Magharibi. Ziwa Tanganyika na 4/1B na 4/1C. Katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Serikali imetenga kiasi kwa shilingi bilioni 102.167 kwa ajili ya kazi mbalimbali za maandalizi ya uchimbaji wa gesi na mafuta kwenye vitalu hivyo.

= Napenda kutoa taarifa kwa Bunge lako tukufu kwamba hatua ya kwanza na muhimu ya mazungumzo kati ya Serikali na Makampuni ya Gesi na Mafuta kuhusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi (LNG) Lindi, imefanikiwa.

= Baada ya tarehe 9 Juni 2022, tutakuwa tayari kusaini Mkataba Hodhi (HGA) kati ya Serikali na Makampuni haya.

= kutokana na ukubwa pamoja na manufaa yatakayopatikana katika mradi wa LNG, ikiwemo kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo utakapotekelezwa na kitaifa, Serikali ina mpango wa kuanzisha Ukanda Maalum wa Kiuchumi (Special Economic Zone) katika eneo la mradi ambapo maeneo yatatengwa na kuendelezwa kwa ajili ya uwekezaji, uzalishaji na biashara.

Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia gesi asilia kwenye magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini.

Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.

Mradi wa uanzishwaji wa Hifadhi ya Kimkakati ya Mafuta (Strategic Petroleum Reserve - SPR) unahusisha uratibu wa uagizaji, uhifadhi na usambazaji wa bidhaa za mafuta kwa kipindi mahsusi.

Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).

Serikali kupitia TPDC inashiriki katika biashara ya usambazaji mafuta kupitia TANOIL (ambayo ni kampuni tanzu ya TPDC). TANOIL itaendelea na uagizaji wa mafuta kwa ujazo usiopungua tani 20,000 kwa mwezi. Ushiriki wa TANOIL umeimarisha ushiriki wa Serikali na kujenga uwezo wa TPDC na TANOIL katika biashara ya mafuta. Aidha, Ili kuimarisha mtandao wa usambazaji, TPDC kupitia TANOIL itajenga na kukarabati vituo vyake ili kusogeza huduma zake karibu na wananchi. Jumla ya Shilingi bilioni 2.04 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza kazi hiyo.

Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.

Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.

1. Serikali kupitia TPDC imepanga kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari katika Bohari Kuu za mafuta za Serikali za Dar es Salaam na Dodoma. Lengo ni kuwezesha magari mengi zaidi ya Serikali na watu binafsi kutumia gesi asilia inayozalishwa nchini badala ya Mafuta.

2. Serikali ina makubaliano ya awali (MoU) na nchi za Uganda na Kenya kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kusafirishia gesi asilia kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi hizo. Miradi yote ipo katika hatua za awali, ikiwemo matayarisho ya kufanya upembuzi yakinifu. Kwa upande wa mradi wa bomba la kwenda Uganda, Serikali imetenga shilingi milioni 635 na upande wa bomba la kwenda Kenya shilingi milioni 656.10 kwa ajili ya kazi mbalimbali za awali.

3. Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote. Maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi).

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi

5. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, sio tu kwamba umeme wa Gridi ya Taifa utafika Kigoma, bali pia umeme unaoingia kwenye Gridi ya Taifa utazalishwa Kigoma Kutumia Maji wa Malagarasi.

6. Wizara kwa kushirikiana na TANESCO imeandaa miradi 53 ya umeme yenye sura ya kutekelezwa kupitia Sekta Binafsi. Hadi sasa, miradi saba (7) ya umeme jua, upepo na maporomoko ya maji yenye uwezo wa kuzalisha MW 597 ilipata wawekezaji wenye nia ya kuiendeleza.

7. Serikali pia inatafakari namna sahihi ya kutekeleza mpango wa kubadilisha deni la TANESCO kwa Serikali kuwa hisa za Serikali (Debt to Equity Conversion) ili kuweka vitabu vya mahesabu vya Shirika katika hali nzuri itakayoliwezesha Shirika kupata fedha za miradi bila kutegemea Serikali.

Kuhusu kukatikatika Umeme, Serikali imetafuta muarubaini wa kadhia ya kukatika katika kwa umeme ambako kwa sehemu kubwa kunatokana na uchakavu na kutotosheleza kwa miundo mbinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

Tumekuja na Mradi Kabambe wa kuimarisha Gridi ya Taifa. Mradi huu unahusu maeneo ya utekelezaji: -
(i) Kununua na kufunga mashineumba (transformers) 6,000;
(ii) Kununua na kusimika nguzo za njia za kusafirisha umeme 380,000;
(iii) Kununua na kufunga nyaya zenye urefu wa kilomita 46,200;
(iv) Kununua na kufunga mita za Luku 700,000;
(v) Kujenga vituo vya kupooza umeme (grid substations) 14 za 220/33kV na 132/33Kv;
(vi) Kununua na kufunga mashineumba kubwa (power transformers) 27 za size ya 50MVA, 60MVA, 90MVA na 120 MVA;
(vii) Kujenga njia za kusafirisha umeme za urefu wa kilomita 948 za msongo wa kV 132 na kV 220.
Utekelezaji wa Mradi huu unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka minne na unakadiriwa kugharimu Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na takriban Shilingi trilioni 4.420. Katika mwaka ujao wa fedha jumla ya Shilingi bilioni 500.

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliomba Bunge kumuidhinishia bajeti ya jumla ya Shilingi 2,905,981,533,000 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake
😂😂😂😂porojo
 
Back
Top Bottom