Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .
Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito