umeme

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
  3. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda suala la umeme, sukari na nauli yamemshinda?

    Makonda aache sanaa na janja janja. Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli. Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

    Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila. Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
  6. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme utakaojengwa mto Malagarasi mkoa wa Kigoma

    Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zenye umeme wa uhakika

    African Countries with Stable Electricity 1. Ghana 2. Cape Verde 3. Cote d'Ivoire 4. Algeria 5. Tunisia 6. Morocco 7. Seychelles 8. Mauritius 9. Egypt 10. Gabon 11. Benin Republic 12. Kenya 13. Botswana 14. Senegal Libya has the cheapest electricity and fuel prices in Africa. Fuel...
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yashusha Bei ya kununua Umeme kuanzia leo

    Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme. Katibu Mkuu wa Nishati Alex Wachira alifichua kuwa gharama ya umeme kwa aina zote itapunguzwa kwa Ksh3.44 kwa kila uniti...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    Serikali ya ghana imesitisha mipango ya kutekeleza ushuru wa 15% kwa nguvu, kufuatia ghasia za umma kwamba itazidisha mzozo wa gharama ya maisha. Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ilipaswa kutozwa kwa watumiaji wa ndani wa umeme. lakini vyama vya wafanyikazi vilipinga ushuru huo mpya na...
  13. Irene Magoboka

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana taasisi yenye dhamana ya kusimamia Lugha ya Taifa (Kiswahili) kukosa jenereta pale unapokatika umeme

    Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana. Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makonda alivae tatizo la umeme Nchini. Mie nadhani ndiye kiongozi pekee CCM anayeweza kuwatepetesha TANESCO

    Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni wakaidi na wana kiburi mbele ya Rais na Wananchi wake kwa kauli zinazokinzana kila siku na kuendelea ukataji wa umeme

    Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa. Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ufalme unaojifitini lazima utaanguka. Umeme ni eneo ambalo serikali inajifitini

    Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa. Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa uhakika? Nchi haiendeshwi namna hii. Tunapaswa kuiwajibisha CCM haijawahi kuleta unafuu zaidi ya...
  17. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

    Nisikuchoshe Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati? Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
  18. ward41

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

    Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba. Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia. Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa Gesi na maji ndio chanzo mgao wa umeme

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeweka wazi kuwa sababu ya mgao wa umeme nchini umesababishwa na upungufu wa maji na gesi. “Sababu za uzalishaji wa umeme kuwa mdogo ni pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa tegemezi yakiwemo Mtera, Kidatu na Kihansi; uchakavu wa mitambo ya kuzalishia...
  20. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ilala kukumbwa na Mgao wa Umeme

    Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala. @TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam! Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
Back
Top Bottom