umeme

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania LHRC: Hakuna anayewajibishwa licha ya Mgawo wa Umeme kuathiri Watanzania wengi

    Tamko la LHRC kuhusu hali ya Mgomo wa Umeme nchini la February 19, 2024 limeainisha hoja zifuatazo Hoja 5 za LHRC kuhusu Mgawo wa Umeme Nchini 1. Serikali imekuwa inatoa ahadi hewa kuwa tatizo la Umeme litaisha toka kipindi cha Mradi wa gesi 2012 hadi leo 2024 2. Kukatika kwa Umeme...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Serikali: Unaweza kuamka kesho mgawo wa umeme umeisha

    "Mahitaji ya umeme nchini ni kati ya megawati 300 mpaka 400, mfano leo asubuhi tulikuwa na mahitaji ya megawati 304 ukiingiza megawati 235 (Kutoka kwenye mtambo wa bwawa la Mwalimu Nyerere) utaona kwa kiasi gani itapunguza uhaba wa umeme, zaidi ya asilimia 80 ya tatizo litapunguzwa kwa kuwasha...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Natangaza tarehe 01/03/2024 iwe siku ya mandamano ya kukataa mgawo wa umeme Tanzania

    Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
  5. chiembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Rais Rutto akumbana na shida ya umeme wakati anahutubia

    Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake. Haya sasa, hata Kenya matatizo ya umeme yapo, lakini huwezi wasikia wanadharau nchi yao. --- Katika hali isiyokuwa ya kawaida...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Tanzania haina Umeme

    Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa Wawezeshaji ( watoa hela ) Kwenye Nchi ambayo umeme unakatwa kwa eneo la 75% , kwa wakati mmoja huwezi...
  7. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Mkata umeme wa Goba ni katili, anatutesa mno

    Kwenye hili swala la umeme ni kweli serikali tunajua wameshindwa na tiba yake sio ya leo wala kesho. Tumekubali mgao wa umeme sababu ndo hali halisi kuwa serikali ya sasa imeshindwa. Sasa hapo kwenye mgao kuna mitaa inaonewa sana kwa mfano goba asee huu mtaa wanakata umeme kila...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika. Dkt. Biteko amesema tabia ya kutobadilisha au kukarabati miundombinu kwa wakati pale inapoharibika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO. Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto ya nguzo kukatika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Tumeenda mbele na kuamua kuwapigia picha...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

    Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko? TANESCO
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

    MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM. 1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme? 2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao. JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    .
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Dkt. Samia anakerwa na kukatika kwa Umeme, ni lazima tuzalishe umeme zaidi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tanesco Temeke: Umeme upo wa kutosha, shida miundombinu iliyopo haiwezi kutawanya umeme kwa wakati mmoja

    Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako. Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati tembelea line ya umeme Mbeya - Chunya, makongorosi kms 150

    Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo: 1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya. 2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station. 3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania TRC: Mgawo wa umeme hautaathiri treni za SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mgao wa umeme unaoondelea nchini hautaathiri utendaji kazi wa treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) kwani treni hiyo itakuwa na njia yake maalumu ambayo haifungamani na njia yoyote kwa ajili ya kusafirishia umeme. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa TRC...
  19. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake

    Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ahadi za Serikali juu ya tatizo la Mgawo wa Umeme Nchini kuanzia mwaka 2010 hadi 2024

    Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011 Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema Mgawo utaisha mwaka 2013 Juni 2014: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
Back
Top Bottom