umeme

  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Shirika la umeme mnatukatia sana umeme bila kutuandaa bila kujali

    Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais aunde Wizara ya kushughulikia Jiji la Dar na Dodoma pamoja na Wizara ya Umeme

    Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja. Doto anahangaika na Unaibu waziri mkuu, anasahau majukumu ya TANESCO. Ninashauri Rais aunde Wizara ya Umeme tu ambayo itahusika na...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TANESCO apewe Tuzo, umeme Unapungua haujawahi katika! CHAWA ni kielelezo cha vijana walio tayari kufanya lolote kwa Dhumuni!

    Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako. Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza walia na mgawo wa umeme

    WAKAZI wa Jiji la Mwanza, wamepaza sauti zao, hususan wafanyabiashara wa hoteli na sehemu za kutoa huduma za afya, kwa kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoa ratiba ya mgawo wa umeme inayoeleweka. Pia wamesema biashara zinahitaji kutumia gharama kubwa katika uendeshaji, kutokana na...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya? Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme. Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama? Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  10. Haldam11

    JamiiForums Tanzania Umeme umekuwa janga mkoani Kilimanjaro

    Hali ya upatikanji wa umeme mkoa wa Kilimanjaro imekuwa changamoto kubwa sana, kwa siku umeme unaweza kukatika zaidi ya mara tatu, siku nyingne umeme unakatika zaidi ya masaa 16. Mkoani kwako hali ipoje?
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero ya umeme Mbeya

    Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha kushangaza hata siku ambazo tunatakiwa kushinda na umeme wao wanakata. Pia wakati mwingine wanarudisha umeme...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa tujiviwanda hautegemei umeme wa uhakika

    Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika. Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi namaanisha uchumi wa viwanda hapa kuna umuhimu mkubwa sana wa umeme kuwa wa uhakika kwa kiwango...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umekuwa janga la Taifa, Rais jitokeze uiambie Taifa ukweli

    Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
  16. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Suala la Umeme linafanya niwaze siasa

    Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme siku 5 tu (Yaan ukiunganisha unganisha mgao kufikia masaa 120-5days). Hii inanifanya nijiulize...
  17. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  20. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kilio cha kukatika kwa umeme

    Hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara imekuwa ni changamoto inayochangia kilio kikubwa katika jamii na uendeshaji wa biashara. Kwa mfano, shughuli za biashara zinaweza kukumbwa na hasara kubwa kutokana na kukatika kwa umeme, na hii inaweza kusababisha uharibifu wa vifaa vya kielektroniki...
Back
Top Bottom