Mkoa wa Ilala kukumbwa na Mgao wa Umeme

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,946
Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala.
Screenshot_2024-02-05-14-18-01-46_c37d74246d9c81aa0bb824b57eaf7062.jpg

Screenshot_2024-02-05-14-18-19-18_c37d74246d9c81aa0bb824b57eaf7062.jpg
@TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam!

Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
 
sahau hilo tutacheza mdundo huu wa mgao.
Kweli mkuu. Mama ameonyesha udhaifu mkubwa kwenye swala la umeme. Ili hali kila akienda huko aendako anasema ana fungua nchi ili investors waje nchini. Sijui wanamuonaje Wakitoka Airport tu kutoka Kipawa mpaka City centre ni giza tupu. Huku Bungeni sijasikia hata mbunge mmoja akileta Hoja binafsi akitaka Bunge lijadili hali ya umeme nchini kama si Dar es Salaam
 
Kwa wabunge gani?
 
Dogo kulikoni? Haikuwa kawaida yako kuchangia majukwaa mengine ulijikita international. Naona Hamas chalii
Jf wamezingua sana kuleta ma notification 🔔 yao ya kila jukwaa hapa juu ndio maana unaniona huku na hangaika
Hamas ipo sana inaendelea kutoa dozi kule
Kama kuna namna ya kuzuia notification 🔔 za forum nyengine ije forum moja tu tafadhali ewe mzayuni nielekeze
 
Back
Top Bottom