umeme

  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

    Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
  2. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  3. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
  6. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
  7. M

    JamiiForums Tanzania Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

    Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

    Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi. Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna. Naumia sana kuona...
  11. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ya Nairobi kukosa maji kwa siku mbili

    Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda suala la umeme, sukari na nauli yamemshinda?

    Makonda aache sanaa na janja janja. Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli. Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

    Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila. Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
  18. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme utakaojengwa mto Malagarasi mkoa wa Kigoma

    Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
Back
Top Bottom