umeme

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  2. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa (inatumia umeme)

    Bei 1,180,000/= mashine ni mpya Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme) 🔴Ina uzito 65kg 🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW 🔴ukubwa wake 430*350*920mm 🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu 🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa 🔴bei 1,180,000/= Kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sukari, umeme na madawa hospitalini

    Mhe. Bashe SUKARI iko wapi wananchi tunateseka. Mhe. Biteko UMEME uko wapi wananchi tunateseka. Mhe. Ummy MADAWA yako wapi wananchi tunateseka hata ukiwa na Bima. Wananchi tunawaamini lakini mnatuangusha. Time will tell.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme kufika Ikulu kesho Jumapili 18.02.2024

    Yaani kama ikulu inakatiwa umeme, itakuwaje kwa wananchi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Umeme ni kitu muhimu katika taifa lolote

    Umeme ni ajira umeme ni uchumi umeme ni maisha. Kwa sasa mitaji inakatika, tunaomba viongizi wa serikali wapate uchungu na sisi tunaoupata kutokana Ili tatizo la kukatika Kwa umeme.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

    Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

    Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
  14. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
  15. M

    JamiiForums Tanzania Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
  16. S

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

    Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

    Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi. Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna. Naumia sana kuona...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ya Nairobi kukosa maji kwa siku mbili

    Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

Back
Top Bottom