ulinzi

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
  2. RUHUMBIKA

    JamiiForums Tanzania Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

    Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
  3. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga, Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana. Noja ya...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

    Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  7. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Private Maritime Security Companies (Makampuni Binafsi ya ulinzi wa meli)

    Private Maritime Security Companies (PMSC) haya ni makampuni binafsi ya ulinzi ambayo hukodiwa na mashirika ya meli, ambapo huweka walinzi (Security guards) wenye mafunzo maalumu kwenye meli na husafiri na meli kwa ajili ya ulinzi wa sehemu hatarishi na kuzuia wazamiaji, maharamia. Makampuni...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuomba msamaha vijana kwa kuwakosesha fursa ya kuajiriwa kwenye vikosi vya ulinzi na usalama kwa zaidi ya miaka 8 nchini

    Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo. Imagine mtu aliyemaliza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apiga kura kukataa azimio la Bunge la kufuta kigezo cha JKT kuajiriwa kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akipiga kura ya hapana kutounga mkono azimio hilo...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  18. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
Back
Top Bottom