Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Enter Passcode

Senior Member
Mar 1, 2024
174
305
Habari, rejea kichwa cha habari.

Jinsia: Me
Umri: 28 yrs old
Mafunzo: JKT
Uzoefu wa kulinda: 3yrs
Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations

Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka chuo cha usimamizi wa kodi (ITA),kama naweza pata intern niko tyr
lugha: Fresh (kawaida), English & kiswahili
Makazi: Kimara, Dsm

Niko tayari kupangiwa kazi sehemu yoyote .

Asanteni sana.
 
Habari!
Rejea kichwa cha habari,
Jinsia;Me
Umri;28 yrs old
Mafunzo;JKT
Uzoefu wa kulinda;3yrs
Vituo nivyolinda;Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations
Elimu;kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka chuo cha usimamizi wa kodi (ITA),kama naweza pata intern niko tyr
lugha;Fresh (kawaida),English &kiswahili
Makazi;Kimara-dsm
niko tyr kupangiwa kazi sehemu yoyote
Asanteni sana.
Nataka uwe mlinzi wangu. Salary 100,000 per month.
Note: Lazima ulete criminal record clearance certificate toka Police Force machinaries.
 
Achana na hizo mbishe dogo utazeeka masikini Bora uwe kuli sokoni,uendeshe guta au toroli tatizi hampendi kuchafuka na kufanya kazi ngumu ndo maana mnakukuwa mitaji ya kuwasindikiza wenzenu kwenye utajiri
 
Nataka uwe mlinzi wangu. Salary 100,000 per month.
Note: Lazima ulete criminal record clearance certificate toka Police Force machinaries.LMip
Nataka uwe mlinzi wangu. Salary 100,000 per month.
Note: Lazima ulete criminal record clearance certificate toka Police Force machinaries.
Ninayo,nmeipata pale wizara ya mambo ya ndani;0756061623
Nataka uwe mlinzi wangu. Salary 100,000 per month.
Note: Lazima ulete criminal record clearance certificate toka Police Force machinaries.
ninayo tayari,&it is negative
 
Achana na wazo la ulinzi. Kwa cheti chako cha Clearing and Fowarding nenda kampuni za wachina kaombe kazi watakupanga kwenye operation na unapoomba jiongeze useme unajua driving iwe pikipiki au gari na utafute licence.

Jumatatu kaanze kuomba pale Wakawaka wapo Jengo la One stop centre floor ya 11. Pia sogea mitaa ya Posta, mnazi mmoja omba kampuni mbalimbali za Clearing uaminifu wako utafanya uwe unapata deiwaka za kutumwa TBS,Kwa mkemia na TRA au Bank kufanya malipo.

Mwisho jitahidi sana upitie notes na ufatilie kazi zinavyoenda ili uwe deep kwenye Clearing and Fowarding endapo atatokea mtu anatafuta kijana wa kumfanyia mtihani wa kupata leseni ya kufungulia kampuni ya Clearing and Fowarding ufanye upewe pesa nzuri au mkubaliane akupe kazi na pesa kiasi.
 
Back
Top Bottom