Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga,
Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana.
Noja ya watoto wake tumezoeana sana, yupo huru sana kunieleza matatizo yake na secrets, sasa siku ya jumamosi katika maongezi yetu akagusia kwamba "hata baba anaenda kwa mganga" nilijifanya kuchukulia poa ili nichimbe info awe huru kujieleza ndio akanisimulia baadhi ya mambo mazito sana lakini aliniasa iwe secrt yetu.
Kwa utajiri wake nyumba yake anayoishi ina thamani ya takribani milioni 400 kwa miaka ya 2014, Ana lodge 3, nyumba alizojenga kupangisha zipo 10 kodi kuanzia laki 4 hadi milioni kwa mwezi, ana maduka mawili makubwa ya jumla, ana scania aliinunua mpya kabisa ya kubebea mizigo, watoto wake wanasoma shule expensive, simu kali, n.k.