Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,381
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?

Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?

Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?

CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.

Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
 
=Chalamila

Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar.
 
1. Makelele ya nini na Chalamila?

Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

2. Kwani taabu iko wapi?

3. Vinginevyo kelele hizi ni za vyura wale wale, katika maandalizi yao pendwa ya kuufyata!
 
Kauli ya Chalamila imelidhalilisha jeshi polisi na majeshi ya ulinzi.....kauli ya Chalamila imemdhalilisha Rais Samia anayejinasibu kuwa ni mwana demokrasia........kwa lugha rahisi ni kuwa tuna utawala wa kidikteta chini ya mwamvuli unaoonekana wa kidemokrasia......
 
Kama jeshi ndilo limempa taarifa Chalamila mipango yake ya usafi, naye kafanya kutangaza, hapo utasema je?
 
Nauona mwisho wa Chalamila ukijongea kwa kasi zaidi

1. Kwamba Chalamila kasema iliyo mipango ya jeshi kuhusu kipindu pindu.

2. Sisi inatuhusu nini kama yetu ni kushuka mabarabarani 23/24 hadi Kanyigo, Kagera huko?

3. Au ni yale ya:

"Janja ya nyani, kwichajua?"
 
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Niliposikia kauli ya RC Ckwa Jeshi, kwanza niliingiwa na simanzi halafu nikaingiwa na Hamasa.
Kwa mujibu wa Gen.Mabeyo (rtd CDF), Jeshi ni 'state ndani ya state' kwa maana ni 'an entity' katika nchi.

Bunge na Mahakama vimepoteza hadhi na heshima kwa kuacha majukumu ya asili na kuwa sehemu ya 'siasa'.

Shughuli za jeshi zinazingatia taratibu na miongozo i. Tangazo la ''usafi'' baada ya tamko la chama cha siasa limeliingiza Jeshi katikati '' ya siasa' bila kutaraji.

Ikiwa ni '' usafi'' jeshi lingeziingatia mazingira na wakati likiepushwa na siasa. Jeshi ni taasisi lakini ina Watu wenye hisia, hili la usafi linaingiza hisia za siasa.. CDF kuna muda wa kuzuia uharibu, tafadhali liangalie hili kwa makini!

Lakini pia RC anatuonyesha kwanini tunahitaji Katiba mpya! Hii ya 1977 ni ya chama kimoja ambapo Jeshi lilikuwa sehemu ya siasa, JK alikuwa kada wa siasa. Zama zimebadilika
 
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?

Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?

Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?

CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.

Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Chalamira = Chalamila.

Shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?
Huyo RC akapimwe akili siyo mzima kichwani
 
Niliposikia kauli ya RC Ckwa Jeshi, kwanza niliingiwa na simanzi halafu nikaingiwa na Hamasa.
Kwa mujibu wa Gen.Mabeyo (rtd CDF), Jeshi ni 'state ndani ya state' kwa maana ni 'an entity' katika nchi.

Bunge na Mahakama vimepoteza hadhi na heshima kwa kuacha majukumu ya asili na kuwa sehemu ya 'siasa'.

Shughuli za jeshi zinazingatia taratibu na miongozo i. Tangazo la ''usafi'' baada ya tamko la chama cha siasa limeliingiza Jeshi katikati '' ya siasa' bila kutaraji.

Ikiwa ni '' usafi'' jeshi lingeziingatia mazingira na wakati likiepushwa na siasa. Jeshi ni taasisi lakini ina Watu wenye hisia, hili la usafi linaingiza hisia za siasa.. CDF kuna muda wa kuzuia uharibu, tafadhali liangalie hili kwa makini!

Lakini pia RC anatuonyesha kwanini tunahitaji Katiba mpya! Hii ya 1977 ni ya chama kimoja ambapo Jeshi lilikuwa sehemu ya siasa, JK alikuwa kada wa siasa. Zama zimebadilika

1. Mtamaliza bucha zote nyama ni ile ile.

2. Chalamila na anahusiana vipi na nini?

3. Kwani tulimhitaji kwenye maandamano yetu kama mgeni mwalikwa?

4. Options:

"Head on au tunapanga siku nyingine na usafi tunashirikiana nao, sisi na kombati zetu."

5. Zingine ni kelele za vyura za makamanda uchwara tu:

IMG_20211016_132442_593.jpg
 
=Chalamila

Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ana command JWTZ? Unaelewa maana ya Jeshi?

Mwenyekiti wa mtaa pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mtaani kwake, je naye ana authority Kwa kambi ya JWTZ iliyopo mtaani kwake? Mfano Kunduchi, Mbagala, kawe, gongo la mboto, buza Sigara etc?
 
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?

Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?

Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?

CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.

Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Mkuu ukitaka kujua kuwa Chalamila naye ni Amiri Jeshi tusubiri hayo maagizo yake yatakavyotekelezwa.

Nchi imejaa wapuuzi wengi madarakani. Wenye akili wanafunikwa na upuuzi wa wachache
 
Kwa mujibu wa National Defense Act (NDA) bila hata kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usalama, jeshi linatakiwa kutii mamlaka za kiraia kwa levels za wateule wa rais! Sio km Marekani waliomkatalia hata Trump alipotoa unlawful orders. Tanzania unatii amri hata km ni unlawfully kwa kuangalia aliyetoa ana hayo mamlaka? Then utahoji baadaye
 
Hajatangaza vita. Anetangaza jambo jema la kijamii.
Hana mamlaka ya kuwaagiza chochote JWTZ.

IGP Sorro alimchekea Makonda mpaka akampanda kichwani, IGP anapewa maagizo na RC.

Sasa ni wakati wa CDF kutoka hadharani au mnadhimu wa Jeshi kutoka hadharani na kutowa onto Kwa wanasiasa kulitenga Jeshi na siasa.

Ila in deep haya yote yanatokana Kwa sababu Top rank wa Jeshi letu nao ni partners in crime na ccm, wanakula pamoja keki ya Taifa, wanakaa wote Masaki na V8 pia wanapewa mgao, hapa ndipo Jeshi letu liliponasa kwenye mtego wa CCM.
 
Kwa mujibu wa National Defense Act (NDA) bila hata kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usalama, jeshi linatakiwa kutii mamlaka za kiraia kwa levels za wateule wa rais! Sio km Marekani waliomkatalia hata Trump alipotoa unlawful orders. Tanzania unatii amri hata km ni unlawfully kwa kuangalia aliyetoa ana hayo mamlaka? Then utahoji baadaye
Support hoja yako Kwa kutuwekea hapa hiyo NDA.
 
Back
Top Bottom