Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,107
Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari.
Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza.

Kesi hiyo imefunguliwa na watetezi wa haki za binadamu huko Oakland Calfornia Marekani.

Taarifa zaidi: Biden makes history: 1st sitting US president sued for complicity in genocide

------------------------------------------------

Joe Biden sears his name in history by becoming the first sitting American president to be sued for complicity in genocide over the United States' abetment in the Israeli regime's ongoing genocidal war against the Gaza Strip.

The first hearing in the case was being held at the federal courthouse in Oakland, California on Friday.

Human rights bodies and Palestinian US citizens are plaintiffs in the lawsuit, which was lodged by the Center for Constitutional Rights (CCR), a New York-based legal advocacy organization, in mid-November.

The CCR filed the lawsuit on behalf of Dr. Omar Al-Najjar, a physician at Nasser Medical Complex in the city of Khan Younis in southern Gaza, as well as Palestinian human rights groups Defense for Children International – Palestine and al-Haq.

The lawsuit also names US Defense Secretary Lloyd Austin and Secretary of State Antony Blinken.

The Israeli regime has been waging war against Gaza since October 7, 2023, following an operation carried out by the Palestinian territory's resistance groups.

More than 26,000 Palestinians, some 70 percent of whom are women, children, and adolescents, have been killed in the brutal onslaught so far, while upwards of 64,100 others have been injured.

The United States has been providing the war with all-out military and political support. It has armed the regime with more than 10,000 tons of military hardware, and blocked ratification of all United Nations Security Council resolutions that have called for cessation of the Israeli aggression.
 
Kesi ya namna hiyo ingefunguliwa Russia kwa kuishitaki Russia kwa suala la Ukraine ungesikia miaka 70 inamhusu aliepeleka kesi mahakamani....make wale reporter tu wamekula mvua za mawe.
USA wanazidisha uhuru sasa, itabidi waanze kuziminya kumfuata kichaa Putin
 
Sasa hivi kuna shinikizo kwa Biden kuipiga Iran.

Na soon Iran itaanza kupokea kipondo
 
Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari.
Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza.

Kesi hiyo imefunguliwa na watetezi wa haki za binadamu huko Oakland Calfornia Marekani.

Taarifa zaidi: Biden makes history: 1st sitting US president sued for complicity in genocide

------------------------------------------------

Joe Biden sears his name in history by becoming the first sitting American president to be sued for complicity in genocide over the United States' abetment in the Israeli regime's ongoing genocidal war against the Gaza Strip.

The first hearing in the case was being held at the federal courthouse in Oakland, California on Friday.

Human rights bodies and Palestinian US citizens are plaintiffs in the lawsuit, which was lodged by the Center for Constitutional Rights (CCR), a New York-based legal advocacy organization, in mid-November.

The CCR filed the lawsuit on behalf of Dr. Omar Al-Najjar, a physician at Nasser Medical Complex in the city of Khan Younis in southern Gaza, as well as Palestinian human rights groups Defense for Children International – Palestine and al-Haq.

The lawsuit also names US Defense Secretary Lloyd Austin and Secretary of State Antony Blinken.

The Israeli regime has been waging war against Gaza since October 7, 2023, following an operation carried out by the Palestinian territory's resistance groups.

More than 26,000 Palestinians, some 70 percent of whom are women, children, and adolescents, have been killed in the brutal onslaught so far, while upwards of 64,100 others have been injured.

The United States has been providing the war with all-out military and political support. It has armed the regime with more than 10,000 tons of military hardware, and blocked ratification of all United Nations Security Council resolutions that have called for cessation of the Israeli aggression.
Safi sana
IMG_20231025_144957.jpg
 
Nyuzi zote humu zinasema Israel anapokea kipondo huko, inakuaje Israel na washirika wake wanashtakiwa tena? Shouldn't it be the other way around?
 
Trump sio mtu wa vita ndo maana wakati wa uongozi wao hakuna vita mpya aliianzisha
Utawala wa Trump ndio uliohamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem, na pia Trump ndio aliemrisha mauaji ya Gaidi mkuu wa Iran Soleman.
 
Back
Top Bottom