ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Chalamila leo, ni matokeo ya VYOMBO kutokumueleza ukweli kila uchwao

    Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii, Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke...
  2. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kujua ukweli na kuona ukweli, lakini bado ukaamini uongo!

    Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake. Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
  3. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Hata saa mbovu ipo wakati husema ukweli

    Tuwe na siku njema
  4. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je Media inatuambia ukweli au inatuamulia tukubali ukweli upi?

    Kama kamera inaonyesha upande mmoja tu wa tukio, tunajuaje upande ambao haukuonyeshwa? Je, habari inaweza kuwa ya kweli lakini bado ikampotosha mtazamaji kwa kuacha baadhi ya ukweli? Nani anaamua tukio gani liwe headline na lipi lisitajwe kabisa? Je, kurudia habari moja mara 100 kunaweza...
  5. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
  6. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

    Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako Picha linaanza .Unakimbia na roba la kilo 50...
  7. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

    Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia. Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi. Yaani mtu kutwa nzima...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sala iliyojaa ukweli mchungu

    Happy Money Day
  9. Mwakinyo makini

    JamiiForums Tanzania Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa Nini unatufumba WATANZANIA? nani anataka kutugawa sisi? tusitafte mchawi ukweli upo wazi

    Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa; 1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu. 2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea maccm wenzake anakamatwa wanapiga mijeredi), NATAMBUA mh raia una MKONO mrefu utakuwa umeona clip ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dola 800 haiwezi kununua ukweli

    "Vyombo vya habari vya Magharibi vinatumia dola 800 kwa video moja kuweka umwamba wa masimulizi barani Afrika. China imefanya mengi, lakini imesema kidogo sana." Hayo yamesemwa na mwandishi wa habari kutoka Rwanda, Eugene Uwimana ambaye amewahi kufanya kazi katika vyombo vya habari vya...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ina maigizo mengi na pesa za serikali zinavyotumika kupoteza ukweli

    Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital. Baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital. Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri wa sanii na wemepeleka hospital sijui ya nani. Subirini muone kuanzia huu uzi mpaka mkifika 2030...
  13. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
  15. papag

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mtupu, mwisho wa siku hatutoondoka na kitu duniani

    Ukibisha shauri yako
  16. O

    JamiiForums Kenya Public Transport in Different African Cities

    I need guys to confirm whether hii ni ukweli.
  17. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ukweli una pande mbili

    Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana. Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine. Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  19. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

    Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa. Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa. pia chanzo Cha matatizo ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Habari za muda humu Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma...
Back
Top Bottom