Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,167
- 11,374
Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina.
GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji yaliyofanywa na VYOMBO VYA ulinzi siku ya mauaji,
GHAFLA naiona hotuba ya chande huyu kwakweli Rangi yake ya uso inanichanganya sana namwisi ni sawa na magabachori ILA Nafasi inagoma.
Hitimisho la tafakari yangu ni kuwa pasipo kifo cha magufuli kwa siasa za BARA hakuna mzanzibari angesema nywanywa au nywinywi eti atutawale kamwe, na ili afanikiwe alitakiwa kutuulia watoto wetu kama alivyofanya.
JE 2030 itakuwaje?