Picha ya Msiba Wako: Ukweli Mchungu

Picha ya Msiba Wako: Ukweli Mchungu

Unazaliwa unajaliwa kuishi miaka 70 au 80, ila unapokufa inakuwa the end inawezapita hata miaka milioni 2 au ma bilioni ya miaka, sasa huwa najiuliza ikiwa kama tunazaliwa na kuishi miaka hiyo alafu tukifa inakuwa ndo for eternity, je? Maisha yana thamani gani ikiwa tutakufa na kupotea milele?, basi hapo nawaza kuwa inawezekana kifo ni njia au ufunguo wa maisha mengine mazuri pengine zaidi ya haya tunayoishi hivi sasa hapa duniani... Ninaamini sasa kuwa kifo siyo ukomo wa maisha ya mtu milele , bali ni ukomo tu wa maisha ya yule mtu hapa duniani lakini kuna kingine kinachotusubiri upande wa pili either ni kizuri au kibaya tutakijua tukishakufa
 
Je Na Wale Wanyama Tunaochinja Na Kuwala,,,Wadudu,,, Na Wengine Wafao Wao Inakuaje Kwao...??Au Ni Ubinafsi Uliokithiri Sisi Wanaadamu Na Kujipa Umuhimu Ambao Unaweza Kuta Hata Hatuna....
 
Unapomchinja kuku na kumtafuna,
Unahisi anaenda kuishi maisha mengine?
 
Napenda siku ninazoomba kufika zikikaribia niandae playlist Kwa ajili ya msiba wangu, USB iwe Na nyimbo kama buku hivi, Za kuchangamka siyo Za kulalamika lalamika
 
Kila kitu unachoandikaga hapa naonaga kama ni takataka tu, sijui kwa nini!
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Je Na Wale Wanyama Tunaochinja Na Kuwala,,,Wadudu,,, Na Wengine Wafao Wao Inakuaje Kwao...??Au Ni Ubinafsi Uliokithiri Sisi Wanaadamu Na Kujipa Umuhimu Ambao Unaweza Kuta Hata Hatuna....

Je Na Wale Wanyama Tunaochinja Na Kuwala,,,Wadudu,,, Na Wengine Wafao Wao Inakuaje Kwao...??Au Ni Ubinafsi Uliokithiri Sisi Wanaadamu Na Kujipa Umuhimu Ambao Unaweza Kuta Hata Hatuna....
Pengine katika maisha yao ya awali walishawahi kuwa binadamu kama sisi, who knows? Ndiyo maana huwa ninaamini katika kitu kinaitwa Reincarnation, pengine matendo yako hapa duniani katika uhai huu yanaweza kuathiri maisha yako yajayo baada ya kifo, kwa kuwa naamini kifo si mwisho bali ni transition
 
Back
Top Bottom