Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,136
- 884
WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA...
Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana..
Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na kukejeli.. Kuna muda tunakaa kimya kwa kuwa tunajua inawezekana ni athari ya gongo anayokunywa toka akiwa kijana sasa imeshaharibu akili au kutokana na uzee basi anaugua dermentia.
Jose anadhani kuwa mawazo yake ni lazma yawe na yatekelezwe na amekuwa siku zote ametaka serikali ifanye anavyotaka yeye au anavyofikiria yeye. Anapenda sana kuongea ongea ili kupata umaarufu.
Jose anasema INEC ilipiga kura na siyo wananchi! Hivi ana ushahidi wa haya matapishi anayoyaongea au anataka tu kulaumu watu walianza kumshughulikia?
Jose analaumu kila sheria ya nchi hii mpaka katiba ya Tanzania wakati alishakuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kama aliona sheria hizi hazifai kwa nini hakurekebisha wakati huo? Alikuwa waziri mkuu wa Tanzania kwa nini hakuona haja ya kuandika katiba wakati huo akiwa na madaraka na mamlaka?
SHida ya Jose ni NONGWA.. Yaani yeye anataka kila anchokiwaza yeye ndiyo kifanyike na kila anachokifikiria yeye ndicho kinafaa na anaona watanzania wote hawana aliki isipokuwa yeye tu. Anashindwa kuelewa kuwa kila zama na kitabu chake.. Alishakuwa kiongozi wa hii nchi akafanya aliyoyaweza na kilichobaki ni kikalisha MATAKO chini aendelee kunywa gongo zake akisubiri kufa. Siyo kila siku anakuja na hili mara lile..
Huyu mzee alipewa kazi ya kuandika rasimu ya katiba na JK alichokifanya kila mtu anajua. Alikwenda kuandika vitu tofauti kabisa na alichokuwa amepewa kwenye term of reference na akavuruga mchakato mzima wa katiba ile. Alijaza mawazo yake kwenye rasimu ile kuliko mawazo ya watanzania walioyoa maoni nchi nzima. Kitendo hiki kililazimu akina Sitta na Chenge kuandika upya mambo ya hovyo ambayo Jose alitaka kuingiza kwenye katiba ya Tanzania..
Jose ana chuki binafsi kabisa na wazanzibari na muungano ndiyo maana yeye na Profesa Baregu walivurunda sana kwenye rasimu ya katiba.Jose alipendekeza eti wimbo wa taifa ufutwe!
Ni mtanzania gani aliyesema na kutaka wimbo wa taifa ufutwe? Ni nani aliyesema na kutoa maoni kuwa kuwe na siku ya wanaume duniani?
Jaji Warioba ni mtu muongo sana. Haya ndiyo aliyosema kwenye taarifa yake. Mfano ni suala la Muungano 👇🏾
Tanzania Bara, waliozungumzia Muungano walikuwa 39,000. Kati yao, ni watu 27,000 tu ndio waliozungumzia muundo wa muungano
💡watu 3,510 (au 13%) serikali moja,
💡watu 6,480 (24%) serikali mbili
💡watu 16,470 (61%) serikali tatu.
Kwa Tanzania Visiwani, waliozungumzia Muungano walikuwa 38,000 na ni nusu yao tu (19,000) waliozungumzia muundo wa muungano.
💡watu 6,460 (au 34%) walitaka serikali mbili
💡watu 11,400 (au 60%) serikali ya mkataba, - watu 25 (0.001%) walitaka serikali moja.
Katika mikutano ya tume ya Jaji Warioba huko visiwani wapo pia waliopendekeza serikali nne : 1) Tanganyika, 2) Pemba, 3) Unguja 4) Muungano, huku wakisisitiza kuwa Muungano uwe kati ya Tanganyika na Unguja. Hao, idadi yao, Jaji Warioba kaamua kukwepa kuitaja na huwezi kuiona Jaji Warioba anaizungumzia popote pale japo yalikuwa ni maoni ya watanzania.
Jaji Warioba huyu kwenye maoni hayo alikuwa anaiomba Zanzibar ikubali kubadili katiba ili uraia uwe suala la muungano na kwa lugha rahisi ni kuwa Zanzibar anataka iwe nchi lakini haina raia. Hili kuwezi kusikia wanaodai katiba kuliongelea popote pale.
Ukitazama mambo ya serikali tatu hayakuwa maoni ya wazanzibar bali yalikuwa ni maoni ya tume ya Warioba na wenzake kwa sababu namba za waliohojiwa na waliotoa maoni na walichokiandika ni vitu tofauti.
Kuna mambo mengi sana ya hovyo waliyoyafanya Jaji Warioba na Profesa Barefu kwenye rasimu na watu hawataki kuyasema na kuyaongea.
Kwa ambao hamumjui huyu mzee tumewafafanuliwa upumbavu wake ambao aliufanya na kuharibu mchakato wa katiba. Wengi hamjui kwa kuwa mlikuwa wadogo