Ukweli ambao wanasiasa na walamba asali au wafuata mikumbo hawataki kabisa kuusikia

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,451
Reaction score
49,196
Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika.
Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa

Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa akimaliza kutawala awamu zake mbili nchi italala , nchi itasimama. Walamba asali na wafuata mikumbo waliamini hivyo pia.

Tarehe 18 March 2021 asubuhi niligombana na afisa mmoja kutoka ofisi ya PM, yeye alikuja ofisini na kuanzisha mada eti Samia hataweza kuvaa viatu vya Magufuli.

Nikamuuliza je, Magufuli alitawala kwa kutumia viatu vya nani?

Nikamwambia Magufuli alitumia viatu vyake kutawala akitumia style yake vivyo hivyo Rais Samia atatumia njia zake kutawala.

Takwimu zimemuumbua Magufuli mbele ya Rais Samia ingawa walamba asali wa Magufuli hawawezi kuukubali huu ukweli.

Kwenye kutoa ajira, kupandisha vyeo na kuongeza mshahara Magufuli kapigwa gape kubwa sana na Rais Samia.

Kwenye sekta ya afya Rais Samia kufanya mapinduzi makubwa. Sasa hivi kila penye watu kuna zahanati na watumishi wapo, na zahanati za zamani nyingi zimekuwa vituo vya afya na vituo vya afya vya zamani vingi sasa vinageuzwa hospitali.

Kwenye Elimu nako sio mchezo.

Kama upo tu kushangilia habari za Mange Kimambi huwezi kuona.

Watoto wa leo wa darasa la 3 wanasoma na kupata uelewa ambao sisi tuliupata tukiwa darasa la 6. Kama huamini kanunue vitabu vya darasa la 3 la leo uone. Kuna shule za sekondari zina miundombinu ya elimu utadhani ziko nje ya Afrika.

Magufuli aliacha VETA ngazi ya mkoa, na baadhi ya mikoa hapakuwa na VETA, Samia kamwaga mamia ya VETA huko mawilayani. Tukiamka 2030 VETA tutaziona katani.

Stand za mabasi bora kamwaga kila mahali, Magufuli alijenga chache tena yule Mzee alikuwa na roho ya kisasi, mikoa aliyopata kura chache kama Mbeya, Arusha aliisahau kwenye miundombinu. Samia habagui

Sasa lami hatuzungumzii tena kuunganisha mikoa ndani ya awamu hii ya Samia. Sasa rami zinamwagwa kuunganisha wilaya.

Ustawi wa wananchi. Kipindi cha Magufuli wananchi walisitisha ujenzi wa makazi binafsi wakawa wanahamgahikia pesa ya kula pekee, sasa hivi Mimi siongei. Nenda mwenyewe miji mipya uone wananchi wanavyojenga nyumba bora za kuishi.

Viwanda. Serikali ya Magufuli iliitwa serikali ya viwanda, bahati mbaya walamba asali na wafuata mikumbo tukiwaambia watuonyeshe viwanda angalau kumi tu vikubwa vya awamu ya Magufuli wanaanza kutukana.

Sasa hivi nendeni Pwani muone mega industries vilivyomwagwa na vyote vinafanya kazi, vijana wajanja wanapata ujira kila mwezi.

Hata hivyo Rais Samia lazima afahamu kuwa bila uwepo wake maisha lazima yatasonga mbele, akimaliza muda wake aondoke akapumzike kwa amani.

Lema, Zito na Mpina bila uwepo wenu bungeni hakuna kitakachoharibika. Tulieni
 
Aise! Kusingekuwa na kilio cha Wabunge mjengoni!
 
Attachments

  • 94f01f53e2c5ab850f1cc99a2e2dc7f2.mp4
    1.8 MB
Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika.
Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa.
Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa akimaliza kutawala awamu zake mbili nchi italala , nchi itasimama. Walamba asali na wafuata mikumbo waliamini hivyo pia.
Tarehe 18 March 2021 asubuhi niligombana na afisa mmoja kutoka ofisi ya PM, yeye alikuja ofisini na kuanzisha mada eti Samia hataweza kuvaa viatu vya Magufuli.
Nikamuuliza je, Magufuli alitawala kwa kutumia viatu vya nani?
Nikamwambia Magufuli alitumia viatu vyake kutawala akitumia style yake vivyo hivyo Rais Samia atatumia njia zake kutawala.
Takwimu zimemuumbua Magufuli mbele ya Rais Samia ingawa walamba asali wa Magufuli hawawezi kuukubali huu ukweli.
Kwenye kutoa ajira, kupandisha vyeo na kuongeza mshahara Magufuli kapigwa gape kubwa sana na Rais Samia.
Kwenye sekta ya afya Rais Samia kufanya mapinduzi makubwa. Sasa hivi kila penye watu kuna zahanati na watumishi wapo, na zahanati za zamani nyingi zimekuwa vituo vya afya na vituo vya afya vya zamani vingi sasa vinageuzwa hospitali.
Kwenye Elimu nako sio mchezo.
Kama upo tu kushangilia habari za Mange Kimambi huwezi kuona.
Watoto wa leo wa darasa la 3 wanasoma na kupata uelewa ambao sisi tuliupata tukiwa darasa la 6. Kama huamini kanunue vitabu vya darasa la 3 la leo uone. Kuna shule za sekondari zina miundombinu ya elimu utadhani ziko nje ya Afrika.
Magufuli aliacha VETA ngazi ya mkoa , na baadhi ya mikoa hapakuwa na VETA, Samia kamwaga mamia ya VETA huko mawilayani. Tukiamka 2030 VETA tutaziona katani.
Stand za mabasi bora kamwaga kila mahali, Magufuli alijenga chache tena yule Mzee alikuwa na roho ya kisasi, mikoa aliyopata kura chache kama Mbeya, Arusha aliisahau kwenye miundombinu. Samia habagui.
Sasa Rami hatuzungumzii tena kuunganisha mikoa ndani ya awamu hii ya Samia. Sasa rami zinamwagwa kuunganisha wilaya.
Ustawi wa wananchi. Kipindi cha Magufuli wananchi walisitisha ujenzi wa makazi binafsi wakawa wanahamgahikia pesa ya kula pekee, sasa hivi Mimi siongei. Nenda mwenyewe miji mipya uone wananchi wanavyojenga nyumba bora za kuishi.
Viwanda. Serikali ya Magufuli iliitwa serikali ya viwanda, bahati mbaya walamba asali na wafuata mikumbo tukiwaambia watuonyeshe viwanda angalau kumi tu vikubwa vya awamu ya Magufuli wanaanza kutukana. Sasa hivi nendeni pwani muone mega industries vilivyomwagwa na vyote vinafanya kazi, vijana wajanja wanapata ujira kila mwezi.
Hata hivyo Rais Samia lazima afahamu kuwa bila uwepo wake maisha lazima yatasonga mbele, akimaliza muda wake aondoke akapumzike kwa amani.
Lema, Zito na Mpina bila uwepo wenu bungeni hakuna kitakachoharibika. Tulieni
Rais hasifiwi au kujitambulisha kwa ujenzi wa madaraja, VETA, viwanja, nk. Hayo hufanywa na wizara ya ujenzi. Akina Mandela, Nyerere na wengine hawatambuliki kwa kujenga barabara na madaraja bali kwa uongozi wenye maslahi mapana ya Taifa.
 
Ila wasukuma ongea yote ukimsema Magufuli tu ugomvi unaanza
Una nyege sana na Wasukuma njoo nikuoe,naona una mguu wa bia
FB_IMG_1774862033464.jpg
 
Back
Top Bottom